Haya mabasi sio kwamba yalikuwa yanatumia siku nyingi kwakuwa na speed ndogo,bali wakati wake barabara nyingi zilikuwa za vumbi na ni mbaya sana.Dar mpk Tanga ulikuwa unasafiri masaa 12,ukifika huko ni vumbi tupu...Kama ulipanda haya mabasi jione kuwa hivi sasa upo kwenye dakika za majeruhi refa anaweza kumaliza mpira wakati wowote.
View attachment 3276768
Kipindi hiki kutoka Bukoba kuelekea Mzizima ilikuwa ni safari ya siku ngapi? Je kutoka Mbeya kwenda Mwanza ilikuwa ni siku ngapi?
Hapo sasa ndio pa kujiuliza maswahi pamoja na kuwa na barabara mbaya bado hakukuwa na hizi ajali tunazoziona hivi sasa. BigUp sana madereva wa enzi hizo Kitonga na Sekenke mabasi yalikuwa mara nyingi yanapita usiku ili abiria wasihofie sana.Mimi nilizipanda DMT na Railway.zilisafiri kwa muds mrefu sababu barabara hazikuwa bora kama sasa.Lakini abiria walisafiri kwa amani ajali hazikuwepo. Madereva walikuwa watu wazima kuliko sasa.Sikuwahi kuona bus la shirika la reli likiwa na mkwaruzo kwa ajali.Hii ndio tofauti wa usafiri wa sasa na zamani
haya mengi yalipita kanda ya kati au sio Mkuu?1.Super Najimunisa
2.Amit
3.Super champion
4.Champion
5.Shabiby
6.Mashiku Investment
7.Upendo
8.Hajis
9.West star
10.Buffalo
11.Ngorika(Mnyama)
12.Hekima
13.Sumry
14.Sadiq line
15.Hood bus service
16.Mohamed Trans
17.Nchambis/Mombasa raha
18.Allys Star
19.NBS Coach
20.Fresh ya Shamba
Haya mengi yalikuwa na safari za Nyanda za juu kusini hasa hizo za mwanzo mwanzoNimepanda mabasi yafuatayo:-
- Railways
- Kamata
- Kwacha
- Nyota
- Zainabs
- Movement Star
- Okoa
- Safina
- Amina/ Aluta Continua
- Matema Beach
- Tawaqal
- Mwanahapa
- M Sleeping
- Sayuni
- Twiga/ Ndingo
- Tahfif
- Tanganyika Bus
- Bunda Bus
- Madoadoa
- Trans Afrika
- Zakaria
- Embakassy
- Urafiki
- Scandinavia