Tujikumbushe; je ulipanda haya mabasi miaka hiyo?

Haya majengo yalivunjwa? Miaka ya nyuma nafikiri scandnavia express ilikuwa ikitumia hizi ofisi.
 
Tarime kupitia Nairobi?! Shikamoo Mhenga
 
Hongera
 
Serikali enzi hizo ilimiliki mabasi, ikiwemo kampuni za Usafiri Dar es Salaam (UDA), Shirika la Reli na Kampuni ya Mabasi ya Taifa (KAMATA) au National Transport Corporation (NTS).
 
Duu mie nimekumbuks nilipanda sahib kamujingijingi,new Arusha bus service,born city,hanang bus service, bullet bus service
 
1.Super Najimunisa
2.Amit
3.Super champion
4.Champion
5.Shabiby
6.Mashiku Investment
7.Upendo
8.Hajis
9.West star
10.Buffalo
11.Ngorika(Mnyama)
12.Hekima
13.Sumry
14.Sadiq line
15.Hood bus service
16.Mohamed Trans
17.Nchambis/Mombasa raha
18.Allys Star
19.NBS Coach
20.Fresh ya Shamba
 
Duu mie nimekumbuks nilipanda sahib kamujingijingi,new Arusha bus service,born city,hanang bus service, bullet bus service
Bullet Bus Service walienda wapi!??
 
Kuna mdau alisema walitumia siku 7 kutoka Mbeya to Mwanza 😃
Mbeya to mwanza ilikua unaunga,mbya Iringa unalala, iringa -dom unalala dom-singida unalala,ukitaka shotcut itigi au manyoni treni.
Singida- shy unalala,Shy mwanza ni kama mkiwahi asubuhi vinginevyo mtalala ndo mnaelekea mza.
Ilikua trc, kamata walishika njia ya mbeya-ira-dar
 
Mimi nilizipanda DMT na Railway.zilisafiri kwa muds mrefu sababu barabara hazikuwa bora kama sasa.Lakini abiria walisafiri kwa amani ajali hazikuwepo. Madereva walikuwa watu wazima kuliko sasa.Sikuwahi kuona bus la shirika la reli likiwa na mkwaruzo kwa ajali.Hii ndio tofauti wa usafiri wa sasa na zamani
 
Naikumbuka Sinai, Mwanza to Nzega masaa 10,,
 
Late 1960s hadi mid 1970s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…