Tujikumbushe; je ulipanda haya mabasi miaka hiyo?

Naona gazeti jipya kabisa hebu Mkuu tafuta ya TeeteeCo pia
 
Haya mabasi sio kwamba yalikuwa yanatumia siku nyingi kwakuwa na speed ndogo,bali wakati wake barabara nyingi zilikuwa za vumbi na ni mbaya sana.Dar mpk Tanga ulikuwa unasafiri masaa 12,ukifika huko ni vumbi tupu...
 
Hapo sasa ndio pa kujiuliza maswahi pamoja na kuwa na barabara mbaya bado hakukuwa na hizi ajali tunazoziona hivi sasa. BigUp sana madereva wa enzi hizo Kitonga na Sekenke mabasi yalikuwa mara nyingi yanapita usiku ili abiria wasihofie sana.
 
haya mengi yalipita kanda ya kati au sio Mkuu?
 
Haya mengi yalikuwa na safari za Nyanda za juu kusini hasa hizo za mwanzo mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…