Hata murilo na msigwa walikuwa hawana amani ya moyo jinsi mnyika alichokuwa akitiririka.
Wakati huo nilimhofia sana Mnyika, lakini nadhani baada ya mengine yote yaliyokuwa yametangulia kabla ya hapo, hiyo ndiyo ikawa salama yake.
Mnyika ni mmoja wa wanasiasa wenye 'latitude' kubwa. Alipomwambia Kikwete kuwa ni dhaifu, nadhani kuna kitu kilimtokea baada ya hapo, kwani alipoa sana hadi alipoibukia kwenye huo mkutano uliouweka hapa, akionekana kuwa makali yake yapo palepale.
Nadhani aliamua tu kubadili mwenendo wa siasa zake, hadi sasa.
Hatari. Mambo mengine kuyaweka rohoni ni mbaya sana. Yanaweza kukurudi kwa kasi ya ajabu...Sijui kwanini Jpm alichukia wapinzani kiasi kile.
John haitaji promo bali promo ndio inamhitajiSo what?
Mnyika mwenyewe kaja kujipigia promo 🤔
Alitumia kila mbinu kuwamaliza kuanzia kuwanunua, kubambikiana kesi, kupigana risasi mpaka kupotezwa...Sijui kwanini Jpm alichukia wapinzani kiasi kile.
Jj kama Jj..kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi.
..angalia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa.
..hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.
..wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa kuzungumza mbele ya Jpm kama alivyofanya JJ Mnyika.
Chadema hawana muda huo. NI DHAHABU adimuSo what?
Mnyika mwenyewe kaja kujipigia promo 🤔