Tujikumbushe Kauli ya Kadogosa Kuhusu SGR yake na umeme

Tujikumbushe Kauli ya Kadogosa Kuhusu SGR yake na umeme

Tunafahamu hilo shida ni kudanganya umma kupitia vyombo vya habari kwamba hata iweje haiwezi kukwama kwa sababu umeme umekatika
kwani imekwamba kwa sababu hakuna umeme au umeme upo ila kutokana na hali ya hewa kuna hitilafu? pili, wewe kama mtu mzima, unaaminije mtu anayekwambia hapatakuwa na tatizo kwenye jambo ambalo kibinadamu tatizo halikwepeki? sawa na unanunua gari mtu anakwambia gari hii ni nzuri sana, hautapata ajali, au anakwambia haitaleta hitilafu, wewe utaamini? ukiamini tukuweke kwenye fungu gani?

kwa Tanzania cha kushukuru Mungu ni kwamba umeme wa kuendeshea SGR upo, suala la hitilafu kama hata majumbani huwa tunakatiwa umeme kwa masaa kadhaa kama nguzo imedondoka sehemu, SGR ndio iwe immunte kwenye changamoto za msingi kama hizo?
 
Back
Top Bottom