Tujikumbushe kidogo Rivers utd Vs Wyad AC

Tujikumbushe kidogo Rivers utd Vs Wyad AC

Mpira haupo hivo Kaka, Simba wakiingia na game plan nzuri next game wanaweza wakapata Sare au hata kushinda kabisa..All the best Mnyama mkali # Simba Sports Club
 
Usiongee sana kuhusu sisi ukasahau kesho una game na Mito United . Mto wa maji utakuzamisha kesho, na hivi hujui kuogelea!
Mito iliyoungana
😃😂😅🤣. Manina, kesho vyura wote mtawakuta Selander Bridge
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Simba itafanya kama hawa achana na hao waliofeli size ya uto.
 
Attachments

  • Screenshot_20230422-214912.png
    Screenshot_20230422-214912.png
    51.5 KB · Views: 2
[emoji3][emoji3]

Huwa nahisi wanayanga mnaonewa ila kumbe ni nyie ndo mnazingua.

Kabla ya game ya Leo mlisema Mnyama atakufa goli nyingi tu, baada ya game mmebadiri gia angani kwa kudai Wydad huwa hatilii maanani game za away.

Mnazingua sana, ifikie stage mkubali TU kuwa Mnyama Yuko vizuri.

Acha tusubili hiyo game mnayoisemea.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwa kweliii.
 
Jamani WATANI zetu wamekua kisoka...

Si kwa pira lile la leo[emoji1488][emoji1488][emoji1787][emoji1787]

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mito iliyoungana
😃😂😅🤣. Manina, kesho vyura wote mtawakuta Selander Bridge
😆😂🤸 Na salama yao hao vyura itabidi wa-swim in the direction of the river, not against it. Hapo tutakuta wachache wamekufa pale Salander Bridge, ila wakishupaza shingo watakufa wengi zaidi.
 
Jamani WATANI zetu wamekua kisoka...

Si kwa pira lile la leo[emoji1488][emoji1488][emoji1787][emoji1787]

#DaimaMbeleNyumaMwiko

-Hali ya pitch (sidhan kma ni sawa na pitch zao)
-Home advantage
-Refa kuna muda alikuw anapendelea kiaina
-Kucheza AWAY unajilinda zaidi na huwezi kufunguka

Sababu zipo nyingi japo mtani kakosea kufunga goli moja. Angefunga 3

Hongera kwao
 
Umesahau na kuroga wameroga mpaka wamelala uwanjani, we unafikiri ule uzito wa miguu kwa wachezaji wa whydad kufanya maamuzi ya haraka ilikuwa ni kawaida, Sasa wabebe na waganga wao waende nao bado wanakwenda kupasuka
 
Hakuna timu ya Mchongo,timu tunguli itakayo fanikiwa kucheza nusu final ya Caf champion league.
Kule ni uwekezaji tu, tunguli apo ndi mwisho.
 
Kuna mchungaji katabiri huko kuwa YANGA atafungwa mechi zote yaani NJE-NDANI dhidi ya RIVERS

Na ndiye aliyetabairi yanga haita fuzu robo fainali

Kifupi sio mchungaji ni mtafutaji umaarufu
 
😆😂🤸 Na salama yao hao vyura itabidi wa-swim in the direction of the river, not against it. Hapo tutakuta wachache wamekufa pale Salander Bridge, ila wakishupaza shingo watakufa wengi zaidi.
Jion tu naenda kuokota vyura pale Sealander Bridge
😂😂🤣🤣🤣😂😂
 
Back
Top Bottom