Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure,ila sasa wale jamaa wananunuaga waamuzi mbwa waleYanga mnateseka sana. Kwa game nilivoiona bila bila inawezekana pale Morocco na tukafuzu
Neno mbari..limenikumbusha mwendazake..kweri kweri..Wiki ijayo sio mbari .marehemu ana mdomo sana
Na 5m zimeingia.Ilimradi heshima ya nchi imelindwa
Huwezi pigwa KO mbele ya mke na wakwe zako🤣🤣🤣🤣Ilimradi heshima ya nchi imelindwa
Barca aliwahi kupingwa 8Uskariri mpira haupo hvyo anafungwa Liverpool 7 bayern 5 Madrid 5 ww smba nan usfungwe 5 ukiingia kwenye mfumo unakandwa
Mito iliyounganaUsiongee sana kuhusu sisi ukasahau kesho una game na Mito United . Mto wa maji utakuzamisha kesho, na hivi hujui kuogelea!
Kwa kweliii.[emoji3][emoji3]
Huwa nahisi wanayanga mnaonewa ila kumbe ni nyie ndo mnazingua.
Kabla ya game ya Leo mlisema Mnyama atakufa goli nyingi tu, baada ya game mmebadiri gia angani kwa kudai Wydad huwa hatilii maanani game za away.
Mnazingua sana, ifikie stage mkubali TU kuwa Mnyama Yuko vizuri.
Acha tusubili hiyo game mnayoisemea.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
😆😂🤸 Na salama yao hao vyura itabidi wa-swim in the direction of the river, not against it. Hapo tutakuta wachache wamekufa pale Salander Bridge, ila wakishupaza shingo watakufa wengi zaidi.Mito iliyoungana
😃😂😅🤣. Manina, kesho vyura wote mtawakuta Selander Bridge
Jamani WATANI zetu wamekua kisoka...
Si kwa pira lile la leo[emoji1488][emoji1488][emoji1787][emoji1787]
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Nakukumbusha tu kwenye preliminary ndio mlimfunga Zalan magoli 9. Sasa hivi mko wapi?Mambo yalianza hivihivi 😄
View attachment 2596456
Umesahau na kuroga wameroga mpaka wamelala uwanjani, we unafikiri ule uzito wa miguu kwa wachezaji wa whydad kufanya maamuzi ya haraka ilikuwa ni kawaida, Sasa wabebe na waganga wao waende nao bado wanakwenda kupasuka-Hali ya pitch (sidhan kma ni sawa na pitch zao)
-Home advantage
-Refa kuna muda alikuw anapendelea kiaina
-Kucheza AWAY unajilinda zaidi na huwezi kufunguka
Sababu zipo nyingi japo mtani kakosea kufunga goli moja. Angefunga 3
Hongera kwao
Kuna mchungaji katabiri huko kuwa YANGA atafungwa mechi zote yaani NJE-NDANI dhidi ya RIVERS
Jion tu naenda kuokota vyura pale Sealander Bridge😆😂🤸 Na salama yao hao vyura itabidi wa-swim in the direction of the river, not against it. Hapo tutakuta wachache wamekufa pale Salander Bridge, ila wakishupaza shingo watakufa wengi zaidi.
Mambo yalianza hivihivi [emoji1]
View attachment 2596456
Na ndiye aliyetabairi yanga haita fuzu robo fainali
Kifupi sio mchungaji ni mtafutaji umaarufu