XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Kabisa mkuuHuwezi pigwa KO mbele ya mke na wakwe zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuuHuwezi pigwa KO mbele ya mke na wakwe zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan simba inakutesa kila uchwaooo, poleeeeehHakuna timu ya Mchongo,timu tunguli itakayo fanikiwa kucheza nusu final ya Caf champion league.
Kule ni uwekezaji tu, tunguli apo ndi mwisho.
Halafu wako busy na masuala ya Simba kuliko mambo yao..kiukweli wanaumizwa sana na mafanikio ya Simba[emoji3][emoji3]
Huwa nahisi wanayanga mnaonewa ila kumbe ni nyie ndo mnazingua.
Kabla ya game ya Leo mlisema Mnyama atakufa goli nyingi tu, baada ya game mmebadiri gia angani kwa kudai Wydad huwa hatilii maanani game za away.
Mnazingua sana, ifikie stage mkubali TU kuwa Mnyama Yuko vizuri.
Acha tusubili hiyo game mnayoisemea.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kama rahisi shindeni nyie kule kwa Rivers-Hali ya pitch (sidhan kma ni sawa na pitch zao)
-Home advantage
-Refa kuna muda alikuw anapendelea kiaina
-Kucheza AWAY unajilinda zaidi na huwezi kufunguka
Sababu zipo nyingi japo mtani kakosea kufunga goli moja. Angefunga 3
Hongera kwao
Kama mlivyo kandwa na Inonga na Kibu D.Uskariri mpira haupo hvyo anafungwa Liverpool 7 bayern 5 Madrid 5 ww smba nan usfungwe 5 ukiingia kwenye mfumo unakandwa
Mashimo nae mchungaji?Kuna mchungaji katabiri huko kuwa YANGA atafungwa mechi zote yaani NJE-NDANI dhidi ya RIVERS
Huyo atakuwa anachunga ng'ombe.Kuna mchungaji katabiri huko kuwa YANGA atafungwa mechi zote yaani NJE-NDANI dhidi ya RIVERS
Mchungaji TejaMashimo nae mchungaji?
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeKama rahisi shindeni nyie kule kwa Rivers