Tujikumbushe kidogo Rivers utd Vs Wyad AC

Tujikumbushe kidogo Rivers utd Vs Wyad AC

Hakuna timu ya Mchongo,timu tunguli itakayo fanikiwa kucheza nusu final ya Caf champion league.
Kule ni uwekezaji tu, tunguli apo ndi mwisho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan simba inakutesa kila uchwaooo, poleeeeeh
 
[emoji3][emoji3]

Huwa nahisi wanayanga mnaonewa ila kumbe ni nyie ndo mnazingua.

Kabla ya game ya Leo mlisema Mnyama atakufa goli nyingi tu, baada ya game mmebadiri gia angani kwa kudai Wydad huwa hatilii maanani game za away.

Mnazingua sana, ifikie stage mkubali TU kuwa Mnyama Yuko vizuri.

Acha tusubili hiyo game mnayoisemea.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Halafu wako busy na masuala ya Simba kuliko mambo yao..kiukweli wanaumizwa sana na mafanikio ya Simba
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
-Hali ya pitch (sidhan kma ni sawa na pitch zao)
-Home advantage
-Refa kuna muda alikuw anapendelea kiaina
-Kucheza AWAY unajilinda zaidi na huwezi kufunguka

Sababu zipo nyingi japo mtani kakosea kufunga goli moja. Angefunga 3

Hongera kwao
Kama rahisi shindeni nyie kule kwa Rivers
 
Back
Top Bottom