mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kwanza tuambie alipo mjomba Yako Jobo kabla hatujaanza naye.Tuanze na yako!
Kwani Jobo mgonjwa?Acheni Atetee Afya Yake
Huna Habari,Yupo UghaibuniKwani Jobo mgonjwa?
Kitu nduga* kilimshukia Zito akaambiwa: Naweza kukunyima kabisa fursa ya kuongea bungeni, hakuna kuuliza swali, hakuna kuchangia chochote na huwezi kunifanya chochote wala kunipeleka popote!! Usinichezee mimi nina faili langu Milembe!! Karibuni tuanike hapa ubabe wa kitu Nduga*.
Aisee!Usinichezee mimi nina faili langu Milembe!!
halafu anajisifu kabisa mwenyewe. Mwenye hiyo clip hebu tafadhali tuwekee hapa!Aisee!
Kama ni kweli, ilikuwaje mgonjwa akapewa dhamana ya kuongoza mhimili wa Bunge?!!!
Ughaibuni bili kwa mlipa kodi!! Alipiwe na Lisu!Huna Habari,Yupo Ughaibuni
Yupo Amepumzika.Kwanza tuambie alipo mjomba Yako Jobo kabla hatujaanza naye.
Apewe TU japo mafao yake na matibabu aliyozuia jobo&coUghaibuni bili kwa mlipa kodi!! Alipiwe na Lisu!
zama zimebadilika😅😅😅Madaraka ya kulevya
ulitaka uangalie nini cha kukufurahisha pale bungeni?Ndugai Ni spika wa ovyo Tena Sana kuwahi kutokea,kwani alizuia watanzania tusiliangalie bunge live
Moja ya watu waliojisahau baada ya kupata madaraka makubwa...