Tujikumbushe kidogo ubabe wa Job Ndugai Bungenii

Tujikumbushe kidogo ubabe wa Job Ndugai Bungenii

Wapumbavu na mapopoma ni wabunge wote hasa wa ccm kumchagua na kumpendekeza Ndugai awe Speaker, zaidi utopolo ni kamati kuu na halmashauri kuu ya ccm kupendekeza jina la utopolo ndugai, nchi hii akili tope kila mahali, dikteta zungu anakuwa naibu spika.
 
Madaraka ya kulevya
Sema tena na tena ndugu yangu! Hakuna awamu watu waliolewa madaraka kama awamu ya tano. Watu walikuwa wanazungumza utadhani wana uwezo wa ki-Mungu. Anzie kwa yule mpwa wa Magufuli aliyekuwa UVCCM, Makonda, Ndugai mpaka kwa Magufuli mwenyewe.
 
Kuna wakati hii nchi ilishikwa na vichaa watupu
Aaa wapi. Wala siyo vichaa bali ni malimbukeni waliojaa upumbavu, ushamba na ukatili. Vichaa mbona tuko nao mitaani siku zote na hatuoni wakifanya mambo ya kihayawani namna ile!
 
Muda umeongea...

Kwa jeuri zake hizo ndiyo maana kaamua kuwaachia mambo yao wenyewe...
 
Kumbe dogo Job alikua anatumia nafasi yake kuomba mb'unye wabunge viti maalum.
 
Back
Top Bottom