Tujikumbushe ma Dj's walioinyanyua Bongo Fleva

Tujikumbushe ma Dj's walioinyanyua Bongo Fleva

Mimi ni wale waliopwnda saana bongofravour enzi za akina Nigger J (prof J)

Dj ambao niliwapenda saana

Dj nico Track
Dj skills
Dj bon venture
Dj d.white (enzi za Billz)
Dj Marriz
Dj Fred wahh
Dj John Dilinga

Miaka ya 2002 ilikuwa ni hatari saana
Dj flan wa kiss FM nimemsahau..alikuwa anapiga music pia, delux club hotel mwanza
 
Kiss Fm na RFA ndo radio zimetuimbisha sana mziki miaka ya nyuma.
 
John Dilinga alikua Anabwembwe sana. Dizaini sound effect wimbo unaimba unatoa sauti kama unaingizwa kwenye mtungi aloo. Noma sana.
Sikuhizi radio station zimepoteza mvuto asubuhi mpaka jioni unasikia makelele ya mastori ya hao washkaji wa vijiweni hakuna tena burdan kama zamani.
John dilinga matloe hatari sana

Ova
 
Dj ommy wa redio one weweeeee dj shoo ilikuwa hatari(rip my brother) na ulee wimbo ulikuwa unaimbwa hivi"wajifanya wanajua kumbe waungua jua aah dj ommy kiboko Yao redio one kiboko mamaaa dj show kiboko yaooo nehi nehi babujii batikeee babujii balaaaaa"
 
MAIKI MHAGAMA, HUYU NI BABA WA DJ's, NI mtu wa kwanza kupiga muziki wa bongo fleva ( bongo hip hop) redioni, Radio one dj show, wimbo unaitwa NI MIMI, umeimbwa na Mr 2 (sugu)
Hakuwa DJ ni kama Aboubakary Sadick.
 
MAIKI MHAGAMA, HUYU NI BABA WA DJ's, NI mtu wa kwanza kupiga muziki wa bongo fleva ( bongo hip hop) redioni, Radio one dj show, wimbo unaitwa NI MIMI, umeimbwa na Mr 2 (sugu)
Mhagama, liundi walikuwa radio presenters tu
Ila wao ndiyo waliutambulisha mziki bongo flavour radio kwanza kabisa
Hawa ndiyo wana stahili pongeZi

Ova
 
Dj ommy wa redio one weweeeee dj shoo ilikuwa hatari(rip my brother) na ulee wimbo ulikuwa unaimbwa hivi"wajifanya wanajua kumbe waungua jua aah dj ommy kiboko Yao redio one kiboko mamaaa dj show kiboko yaooo nehi nehi babujii batikeee babujii balaaaaa"
Weee dj ommy alifariki???? Alikuwa dj mzuri sana dj show radio one aliturusha sana
 
Back
Top Bottom