Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee...jamaa tumemzika mwezi uliopita nadhani
Huyo Deo Njohore Ni Mtanzania Kweli au Ni Mghana? Naomba Ufafanuzi!
Wewe Umeambiwa Utaje Beki Bora Wa Enzi Hizo Unatuletea Upuuzi Wako Huu Wa Kututajia Kikosi Cha MAPOPOMA Wenzio Yanga. Umeniboa!
yaani wewe Gentamucine Akili zako nafananisha na akili za Ndezi au Samaki aina ya Pono.Namba 2,3 Na 4 Ndiyo Waliokuwa Mabeki Wakali Na Huyo Aliyebaki Alikuwa Ni POPOMA Tu.
wewe ni Popoma sana.... yaani unamtosa mtu kama Chibe Chibindu ?Hapo Wenye AKILI Na Mabeki Imara Walikuwa Ni Pawasa Na Modest Peke Yao Waliobaki Walikuwa Ni Makatuni Tu Uwanjani Nikimaanisha Hawajui.
Marehemu Kizota alitoka kucheza senta fowadi mpaka senta hafu. Kwakweli jamaa alikuwa na kipaji sana.
Alikuwa na kipaji cha hali ya juu sana, uhuni wake ndani ya uwanja ulimfanya ashindwe kucheza ulaya.
Kostantine Kimanda, Yanga
Banza Tshkala, Yanga
George Magere Masatu, Simba
Hussein Masha, Simba
Meck Mexime, Mtibwa
John Mwansasu, Yanga
Kenneth Mkapa, Yanga
Anwari Awadh, Yanga
Silvatus Ibrahim ''Polisi'', Yanga
Saidi Mwamba Kizota, Yanga
Mzee Abdalah, Yanga
wewe ndio Popoma kweli....hivi kwani hapo hamna mabeki? au waliotajwa hapo wote ni makipa na washambuliaji?
yaani wewe Gentamucine Akili zako nafananisha na akili za Ndezi au Samaki aina ya Pono.
wewe ni Popoma sana.... yaani unamtosa mtu kama Chibe Chibindu ?
Wewe Umeambiwa Utaje Beki Bora Wa Enzi Hizo Unatuletea Upuuzi Wako Huu Wa Kututajia Kikosi Cha MAPOPOMA Wenzio Yanga. Umeniboa!
George Masatu ndo kiboko
Huyu alikuwa andunje kiasi fulani kwa vimo vya mabeki wa kati, ila kama ana springi miguuni vile.
chibe chibindu ilikuwa mpira unaenda wewe unabaki au wewe unaenda mpira unabakiHapo Wenye AKILI Na Mabeki Imara Walikuwa Ni Pawasa Na Modest Peke Yao Waliobaki Walikuwa Ni Makatuni Tu Uwanjani Nikimaanisha Hawajui.
chibe chibindu ilikuwa mpira unaenda wewe unabaki au wewe unaenda mpira unabaki
Hahahaha,jamaa alikuwa mbaya sana kwa Viwiko a.k.a Vipepsi,ilikuwa ukienda nae juu kuwahi mpira wa juu ukishuka chini lazima ndio iwe mwisho wako wa Game. Na kitu kingine kilichomuharibu jamaa ni Masanga,jamaa alikuwa mnywaji mzuri sana wa Bia.