Tujikumbushe maisha ya chuo wadau

Dr unaweza piga kazi yako hiyo uliyosomea kwa mda fulani na bado ukapata mda wa kubeba box , kuchangia damu kwa malipo na kutunza wazee ,ni wewe tu ujiamulie .
Ngoja nipate wa kumuweka ndani alafu nimuache na mtoto mmoja ili nikazitafute hela nje huko
 
Nimefanyia sana watu supplementary Kwa ujira wa 15000 Kila supp. Ila ufara mwingine πŸ˜‚
 
Nyama ya foil sijawai ionja tangu niage chuo, nimekundua kumbe foil ni anasaπŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa naishi chumba namba 412 floor ya saba hall two. Wakati huo lift ilikuwa mbovu ni kupanda kwa ngazi! Nikapeleka manzi room kwangu kachoka kinoma kupanda ngazi sikutumia nguvu mana tayari ule uchovu wa ngazi ulimuweka sawa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sometimes chuo uwa na miss bata tu hila masomo yale hapana nilikuwa nikipata boom tu huyo town Samaki samaki na starpark ngoma inarudi mapema asubuh
Sema kweli uduguuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UNAPANGA GHETO NA VYUMBA VINGINE ZINAISHI NDOOAAA ZA VYUOOO ASUBUHI CHOONI WADADA WANAKOJOA SHAHAWA TUUUUU ASEEEEEE DAHHHHH STILL SIELEWI MAANA HATA NDOMU KUMBE ILIKUWA NGUMU KUTUMIA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas, khaaaah
 
UDSM miaka ile ilikuwa poa sana. Zama za kwenda savannah posta then nakaa mpaka asubuhi ili nirudi na daladala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…