MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Ngoja nipate wa kumuweka ndani alafu nimuache na mtoto mmoja ili nikazitafute hela nje hukoDr unaweza piga kazi yako hiyo uliyosomea kwa mda fulani na bado ukapata mda wa kubeba box , kuchangia damu kwa malipo na kutunza wazee ,ni wewe tu ujiamulie .