Tujikumbushe maisha ya chuo wadau

Tujikumbushe maisha ya chuo wadau

Nimefanyia sana watu supplementary Kwa ujira wa 15000 Kila supp. Ila ufara mwingine 😂
 
Nyama ya foil sijawai ionja tangu niage chuo, nimekundua kumbe foil ni anasa😂
 
Dah noma sana
upo Pande zipi sasa, Malkia, Nordic, Hilter au Red India.

Hapo kwenye Box umenikumbusha mbali.

Naelewa kwa nini umepata hisia za kumbukumbu za Bibo na Hall 5.

Ukibeba Box hasa la industrial au care, night shift kipindi cha winter unaweza ukakumbuka hadi life la Namtumbo kwa bibi huku ukijiuliza nimekosa nini Bongo.

Pambana mwana usikate tamaa hadi kieleweke. Mungu atakusaidia utatoboa.

Ila uwe na mipango usije ukabeba Box hadi unaenda kwa sioni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa naishi chumba namba 412 floor ya saba hall two. Wakati huo lift ilikuwa mbovu ni kupanda kwa ngazi! Nikapeleka manzi room kwangu kachoka kinoma kupanda ngazi sikutumia nguvu mana tayari ule uchovu wa ngazi ulimuweka sawa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UNAPANGA GHETO NA VYUMBA VINGINE ZINAISHI NDOOAAA ZA VYUOOO ASUBUHI CHOONI WADADA WANAKOJOA SHAHAWA TUUUUU ASEEEEEE DAHHHHH STILL SIELEWI MAANA HATA NDOMU KUMBE ILIKUWA NGUMU KUTUMIA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas, khaaaah
 
UDSM miaka ile ilikuwa poa sana. Zama za kwenda savannah posta then nakaa mpaka asubuhi ili nirudi na daladala
 
Back
Top Bottom