Tujikumbushe majibu ya Dr.Tulia siku Bashe na Mbilinyi walipolalamikia utekaji na mauaji

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.

..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.

..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.

..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI
 
Inawasilishwa shida inakuja wapi wanaotakiwa kujibu hayo maswali spika anawawekea kinga na kuiondoa hiyo mjadala
 
..sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.

..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.

..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.

..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI

Cha kushangaza ukimfuata sasa hivi Bashe baada ya kupata ulaji, atasema hakuna utekaji bali kuna watu wanafanya drama!
It is terrible.
 
Attachments

  • IMG-20240831-WA0003.jpg
    IMG-20240831-WA0003.jpg
    73.3 KB · Views: 3
..sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.

..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.

..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.

..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI

Huyu Chura? awamu hii siyo ya sita ni muendelezo tuu. Asitudanganye
 
Siyo wafumuliwe, bali wahusika wafikishwe Mahakamani na wafungwe jela ili liwe fundisho kwa Watu wengine wenye Nia ovu Kama hiyo. Mifano mizuri zaidi kwenye suala hili ipo nchini Urusi na South Africa.
Baada ya kuanguka kwa Utawala dhalimu wa Shirikisho la Usovieti la Urusi (USSR) Mwaka 1991, Mawakala wa KGB waliohusika kwenye matukio ya vitendo dhalimu vya kuteka, kutesa na kuua watu walifikishwa Mahakamani na baadhi yao walifungwa jela maisha yao yote na wengine walinyongwa hadi kufa. Aidha, hata nchini Afrika ya Kusini nako wahusika wa vitendo viovu kama hivyo walifungwa jela baada ya kukutwa na hatia kwenye ile Tume ya Ukweli na Maridhiano iliyoundwa na Rais Nelson Mandela wakati huo. Baadhi ya Maafisa wa Mamlaka za Ujasusi za Utawala wa Makaburu bado wapo jela hadi leo hii tunapojadiki suala hili kwani walihukumiwa vifungo vya maisha gerezani kutokana na uovu mbaya sana waliotenda wakiwa bado madarakani.

Kwa sasa na Tanzania nayo inapaswa ifuate mkondo huo huo wa Urusi na Afrika ya Kusini ili kurudisha imani kwa Wananchi dhidi ya vyombo vya dola vinavyotuhumiwa kwenye Uhalifu huu
 
..sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.

..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.

..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.

..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI

Katıka binadamu wa hovyo ambao hata kuwasikia sipendi ni huyo mama.
 
Double standard
 
Katıka binadamu wa hovyo ambao hata kuwasikia sipendi ni huyo mama.
Karibu kila kitu ni relative kinafuata kanuni za relativity, wewe humpendi wengine wanamkubali sana
Kwa huyu Bidada mimi kwanza Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...

Hili lilipotokea nikashauri Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

Kisha nikashauri
Mimi binafsi namkubali sana
View: https://youtu.be/ZM_D9HAPi5M?si=KRJZOqS_LWPAFRRl

Nb. Jf ya sasa tunakabiliwa na changamoto ya uchawa, mtu ukimkubali mtu ukamsifia huchelewi kunyooshewa kidole cha uchawa!.
P
 
Wenye kumkubali wengi ni kwasababu ya chama na wewe ni mmojawapo sishangai. Na ndiyo maana halisi ya uchawa.

Mimi sina chama na namuona hovyo sana.
 
Kwenye perception, kuna kitu kinaitwa apathy, mtu ukichukia kitu fulani, unakuwa na apathy kila associates wa chuki yako. Mfano kuna watu wanaichukia CCM hivyo watamchukia yeyote associated na CCM for no apparent reasons hata huyo mtu awe mzuri vipi. Simaanishi Tulia ni malaika, ila pia sio shetani!. Ukimchukia shetani, hata malaika utamuona kama shetani, naheshimu msimamo wako kumuona hovyo sana for justified reasons ila she is much much better kuliko mtangulizi wake.
P
 
Wenye kuwaita wenzao machawa ni wale wanaoishiwa hoja hivyo hujifariji. Ni dhihaka ambayo mtu huitumia kama tusi lakini moyoni mwake anakuwa akiufahamu ukweli wa suala husika.

Hahahahaa, Kaka Paschal umemuamkia huyo Dr Tulia naamini kwa cheo chake, huyu ni mtoto wa mwaka 1976.
 
Kwenye perception, kuna kitu kinaitwa apathy, mtu ukichukia kitu fulani, unakuwa na apathy kila associates wa chuki yako. Mfano kuna watu wanaichukia CCM hivyo watamchukia yeyote associated na CCM for no apparent reasons hata huyo mtu awe mzuri vipi. Simaanishi Tulia ni malaika, ila pia sio shetani!. Ukimchukia shetani, hata malaika utamuona kama shetani, naheshimu msimamo wako kumuona hovyo sana for justified reasons ila she is much much better kuliko mtangulizi wake.
P
Ni mwanasheria ambaye kivitendo anathibitisha humo bungeni tofauti na Ndugai aliyesumbuliwa na inferiority complex ya ufupi alionao.
 
..Hussein Bashe, Adam Malima, na Joseph Musukuma, wanaweza kusaidia kuwatambua wahusika wa utekaji kwasababu na wao waliwahi kutekwa.
 
Kwenye perception, kuna kitu kinaitwa apathy, mtu ukichukia kitu fulani, unakuwa na apathy kila associates wa chuki yako. Mfano kuna watu wanaichukia CCM hivyo watamchukia yeyote associated na CCM for no apparent reasons hata huyo mtu awe mzuri vipi. Simaanishi Tulia ni malaika, ila pia sio shetani!. Ukimchukia shetani, hata malaika utamuona kama shetani, naheshimu msimamo wako kumuona hovyo sana for justified reasons ila she is much much better kuliko mtangulizi wake.
P
Mbona kuna ambao ni ccm na siwachukii?

Huyo spika sijui hata alifikaje hapo alipo. Labda ndo hayo hayo ya uchawa.

Lakini ni empty kabisa. Pia siyo empathic wala sympathetic kwa wananchi.

#HovyoKabisa
 
Duh...!.
Kama ndio hivi basi utapata tabu sana kwasababu iwapo yule mgombea mwanamke wa kile chama hatagombea, then rais ajaye ndiye huyu "ovyo kabisa" wako!.
P
 
Back
Top Bottom