Tujikumbushe majibu ya Dr.Tulia siku Bashe na Mbilinyi walipolalamikia utekaji na mauaji

Tujikumbushe majibu ya Dr.Tulia siku Bashe na Mbilinyi walipolalamikia utekaji na mauaji

Duh...!.
P
Sijasema kwa ubaya mkuu.

Halafu hizo dini zenyewe kwenye familia zinaweka wazi kuwa mwanamume ndo kichwa ama kiongozi.

Sasa kwenye familia kubwa kama Taifa ambapo ni muunganiko wa familia nyingi ndo mnaweka mwanamke kwa mara nyingine tena?!🤦🏾‍♂️
 
Sijasema kwa ubaya mkuu.

Halafu hizo dini zenyewe kwenye familia zinaweka wazi kuwa mwanamume ndo kichwa ama kiongozi.

Sasa kwenye familia kubwa kama Taifa ambapo ni muunganiko wa familia nyingi ndo mnaweka mwanamke kwa mara nyingine tena?!🤦🏾‍♂️
Anayeweka kiongozi sio sisi, ni YEYE mwenyewe, uwezo wa binadamu is just to propose but God disposes

ndio maana tumeshauri humu Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Ila pamoja na nia ya dhati 2025 twende na mwanamke, sisi wazee wa masauti tumesikia sauti HII
P
 
..sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.

..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.

..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.

..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.


View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI

Huyu mtu alisha onekana hafai wakati akiwa Naibu Spika. Lakini wabunge hao hao wakaendelea kumtaka awe Spika, bila shaka chini ya shinikizo.
Hapo ndipo penye tatizo. Bunge kufanywa kuwa sananu tu!

Lakini mimi ninge pendekeza; kwa vile hawa watu hupenda kusifiwa toka nje (rais na huyu spika) hadi kugombea nafasi ya kuwa Spika wa Mabunge; sisi (waTanzania) tunaojuwa ubovu wao ulivyo, tutafute njia za kuwasilisha huu ubovu wao huko nje na wao wajue tabia za hawa watu zilivyo.
Hata kama haitatusaidia sisi kujikwamua toka kwenye maamuzi yao mabovu, lakini sifa wanazo zitafuta huko nje wasizipate na kuja kutukoga nazo hapa.
 
Back
Top Bottom