Inawasilishwa shida inakuja wapi wanaotakiwa kujibu hayo maswali spika anawawekea kinga na kuiondoa hiyo mjadala..sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.
..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.
..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.
..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI
..sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.
..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.
..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.
..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI
It is terrible.Cha kushangaza ukimfuata sasa hivi Bashe baada ya kupata ulaji, atasema hakuna utekaji bali kuna watu wanafanya drama!
Huyu Chura? awamu hii siyo ya sita ni muendelezo tuu. Asitudanganye..sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.
..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.
..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.
..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI
Asante kuliulizia hili jambo leo, akina sisi pia sio tuu tuliulzia bali pia tulitoa ushauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Siyo wafumuliwe, bali wahusika wafikishwe Mahakamani na wafungwe jela ili liwe fundisho kwa Watu wengine wenye Nia ovu Kama hiyo. Mifano mizuri zaidi kwenye suala hili ipo nchini Urusi na South Africa.Asante kuliulizia hili jambo leo, akina sisi pia sio tuu tuliulzia bali pia tulitoa ushauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
P
Katıka binadamu wa hovyo ambao hata kuwasikia sipendi ni huyo mama...sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.
..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.
..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.
..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI
Double standard..sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.
..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.
..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.
..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI
Karibu kila kitu ni relative kinafuata kanuni za relativity, wewe humpendi wengine wanamkubali sanaKatıka binadamu wa hovyo ambao hata kuwasikia sipendi ni huyo mama.
Wenye kumkubali wengi ni kwasababu ya chama na wewe ni mmojawapo sishangai. Na ndiyo maana halisi ya uchawa.Karibu kila kitu ni relative kinafuata kanuni za relativity, wewe humpendi wengine wanamkubali sana
Kwa huyu Bidada mimi kwanza Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Hili lilipotokea nikashauri Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!
Kisha nikashauri
Mimi binafsi namkubali sana
- Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?
- Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
View: https://youtu.be/ZM_D9HAPi5M?si=KRJZOqS_LWPAFRRl
Nb. Jf ya sasa tunakabiliwa na changamoto ya uchawa, mtu ukimkubali mtu ukamsifia huchelewi kunyooshewa kidole cha uchawa!.
P
Kwenye perception, kuna kitu kinaitwa apathy, mtu ukichukia kitu fulani, unakuwa na apathy kila associates wa chuki yako. Mfano kuna watu wanaichukia CCM hivyo watamchukia yeyote associated na CCM for no apparent reasons hata huyo mtu awe mzuri vipi. Simaanishi Tulia ni malaika, ila pia sio shetani!. Ukimchukia shetani, hata malaika utamuona kama shetani, naheshimu msimamo wako kumuona hovyo sana for justified reasons ila she is much much better kuliko mtangulizi wake.Wenye kumkubali wengi ni kwasababu ya chama na wewe ni mmojawapo sishangai. Na ndiyo maana halisi ya uchawa.
Mimi sina chama na namuona hovyo sana.
Wenye kuwaita wenzao machawa ni wale wanaoishiwa hoja hivyo hujifariji. Ni dhihaka ambayo mtu huitumia kama tusi lakini moyoni mwake anakuwa akiufahamu ukweli wa suala husika.Karibu kila kitu ni relative kinafuata kanuni za relativity, wewe humpendi wengine wanamkubali sana
Kwa huyu Bidada mimi kwanza Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Hili lilipotokea nikashauri Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!
Kisha nikashauri
Mimi binafsi namkubali sana
- Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?
- Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
View: https://youtu.be/ZM_D9HAPi5M?si=KRJZOqS_LWPAFRRl
Nb. Jf ya sasa tunakabiliwa na changamoto ya uchawa, mtu ukimkubali mtu ukamsifia huchelewi kunyooshewa kidole cha uchawa!.
P
Ni mwanasheria ambaye kivitendo anathibitisha humo bungeni tofauti na Ndugai aliyesumbuliwa na inferiority complex ya ufupi alionao.Kwenye perception, kuna kitu kinaitwa apathy, mtu ukichukia kitu fulani, unakuwa na apathy kila associates wa chuki yako. Mfano kuna watu wanaichukia CCM hivyo watamchukia yeyote associated na CCM for no apparent reasons hata huyo mtu awe mzuri vipi. Simaanishi Tulia ni malaika, ila pia sio shetani!. Ukimchukia shetani, hata malaika utamuona kama shetani, naheshimu msimamo wako kumuona hovyo sana for justified reasons ila she is much much better kuliko mtangulizi wake.
P
Mbona kuna ambao ni ccm na siwachukii?Kwenye perception, kuna kitu kinaitwa apathy, mtu ukichukia kitu fulani, unakuwa na apathy kila associates wa chuki yako. Mfano kuna watu wanaichukia CCM hivyo watamchukia yeyote associated na CCM for no apparent reasons hata huyo mtu awe mzuri vipi. Simaanishi Tulia ni malaika, ila pia sio shetani!. Ukimchukia shetani, hata malaika utamuona kama shetani, naheshimu msimamo wako kumuona hovyo sana for justified reasons ila she is much much better kuliko mtangulizi wake.
P
Duh...!.Mbona kuna ambao ni ccm na siwachukii?
Huyo spika sijui hata alifikaje hapo alipo. Labda ndo hayo hayo ya uchawa.
Lakini ni empty kabisa. Pia siyo empathic wala sympathetic kwa wananchi.
#HovyoKabisa
Sidhani kama hii nchi itakuja kutawaliwa tena na mwanamke.Duh...!.
Kama ndio hivi basi utapata tabu sana kwasababu iwapo yule mgombea mwanamke wa kile chama hatagombea, then rais ajaye ndiye huyu "ovyo kabisa" wako!.
P