Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Duh...!.Sidhani kama hii nchi itakuja kutawaliwa tena na mwanamke.
John picha weka kwa Attach Then insert then full image.It is terrible.
Sijasema kwa ubaya mkuu.Duh...!.
P
Anayeweka kiongozi sio sisi, ni YEYE mwenyewe, uwezo wa binadamu is just to propose but God disposesSijasema kwa ubaya mkuu.
Halafu hizo dini zenyewe kwenye familia zinaweka wazi kuwa mwanamume ndo kichwa ama kiongozi.
Sasa kwenye familia kubwa kama Taifa ambapo ni muunganiko wa familia nyingi ndo mnaweka mwanamke kwa mara nyingine tena?!🤦🏾♂️
Huyu mtu alisha onekana hafai wakati akiwa Naibu Spika. Lakini wabunge hao hao wakaendelea kumtaka awe Spika, bila shaka chini ya shinikizo...sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.
..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.
..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.
..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI