Tujikumbushe: Majigambo ya waliojiita "wao ni wapiga kura halisi" wa Team Mbowe na eti Team Lissu ilikuwa na "wapiga kelele..."

Tujikumbushe: Majigambo ya waliojiita "wao ni wapiga kura halisi" wa Team Mbowe na eti Team Lissu ilikuwa na "wapiga kelele..."

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
1,967
Reaction score
4,267
Huyu 👇👇jamaa anayejigamba hapa anajitambulisha kama Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo. Haina shaka kuwa alikuwa "Team Mbowe..."

View: https://youtube.com/shorts/ozPk6U2P45k?si=SZQVYkHgEETLKsf0

Jamaa alikuwa anajigamba na kujitapa kweli kuwa yeye "ndiye mpiga kura halisi" na wale wa upande ule wa Lissu ni "wapiga kelele tu..."

Hebu tumtafute tujue kwa sasa ana hali gani huko aliko baada ya Majigambo yake ku - back fire na kumla mwenyewe...
 
Uchaguzi umeshaisha Bwan sheee..adui yenu ni CCM, mkabeni atupatie Watanganyika( wenzetu Znz wanayo) KATIBA MPYA BORA, Tume Huru ya Uchaguzi, Mfumo bora wa Mahakama na Haki Jinai
 
Nadhani hizi zilikuwa ni mbwembwe na tambo za timu Lisu na timu Mbowe ktk uchaguzi. Uchaguzi umekwisha, nayo yamekwisha.

Adui wa nchi hii kwa sasa ni ccm.
 
Back
Top Bottom