Huyu 👇👇jamaa anayejigamba hapa anajitambulisha kama Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo. Haina shaka kuwa alikuwa "Team Mbowe..." View: https://youtube.com/shorts/ozPk6U2P45k?si=SZQVYkHgEETLKsf0
Jamaa alikuwa anajigamba na kujitapa kweli kuwa yeye "ndiye mpiga kura halisi" na wale wa upande ule wa Lissu ni "wapiga kelele tu..."
Hebu tumtafute tujue kwa sasa ana hali gani huko aliko baada ya Majigambo yake ku - back fire na kumla mwenyewe...
Uchaguzi umeshaisha Bwan sheee..adui yenu ni CCM, mkabeni atupatie Watanganyika( wenzetu Znz wanayo) KATIBA MPYA BORA, Tume Huru ya Uchaguzi, Mfumo bora wa Mahakama na Haki Jinai