Tujikumbushe Majina Ya Utani Simba na Yanga.

Tujikumbushe Majina Ya Utani Simba na Yanga.

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
Kwa kuwa mi ni mnazi wa Yanga nitayataja ya Simba tu wengine mtayataja ya Yanga.

1. Mnyama fc

2. Mikia fc.

3. Mbumbumbu fc

4. Sangoma fc ( Nasikia hii timu ilianzishwa na mganga wa kienyeji)

5. Madela fc

6. Underdog fc

7. Malalamiko Fc

8. Mezani fc

9. Fifa fc.

10.....
 
Hilo Sangoma FC ndio asili yao,maana kila match ya Kimataifa lazima wamtoe kafara kiongozi wao mmoja. Match ya Nkana waliomtoa kafara yule wa Keko match ya Waarabu Koko walimtoa kafara wa Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa mi ni mnazi wa Yanga nitayataja ya Simba tu wengine mtayataja ya Yanga.

1. Mnyama fc

2. Mikia fc.

3. Mbumbumbu fc

4. Sangoma fc ( Nasikia hii timu ilianzishwa na mganga wa kienyeji)

5. Madela fc

6. Underdog fc

7. Malalamiko Fc

8. Mezani fc

9. Fifa fc.

10.....
Bado :
Mchangani FC.
 
Wagogo wa Jangwani (Yanga FC kwa sababu wachovu hawana hela na omba omba). Hili ndo jina lao la sasa karibu kila mtaa Dar wanajulikana hivyo. Ila kwa kifupi wanaitwa Wagogo, Ben Pol, MC Pilipili au watoto wa Mze Malecela.
 
Back
Top Bottom