Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Mbunge wa kasulu nadhani ndiyo alikuwa na jina gumu! "Kilontsi Mporogomyi".(tafsiri ya jina ni ngumu)
 
abass gulamali-kilombero,,,,,charles keenja-ubungo
 
phares kashemeza kabuye .mbunge wangu niliye mpigania ashinde nikiwa o'lev pale kagango sekondary .r.i.p. mzee wangu kabuye we mic u watu wa bimlo
 
niliweka hii thread ili kujua jinsi watanzania tulivyowepesi na werevu katika maswala ya kipuuzi, hii thread lazima iweke record hapa jf.
 
Najua wengi hamuwajui hawa
Edigar Maokora Majogo
Amani Nzugile Jidula Mabambasi
Ukiwaona Ditopile Mzuzuri
Siraju Kaboyonga
 
ni ningependa sana kupata wale miamba wakuu yaani G48 kama sijakosea, wale wapinzani ndani ya Bunge enzi za mwalimu.nafikiri kiongozi wao alikuwa Njeru Kisaka, si na uhakika kama sitta alikuwapo ndani, mwenye data - ni kujikumbisha tu sina jingine.
Wabunge waliounda G551. Njelu Mulugala Kasaka2. Lumuli Alipip Kasyupa3. Wiliam Mpiluka4. Mateo Qaresi5. Jared Gachocha6. Dk Ole Titos Kipuyo7. Philip Marmo8. Arcado Ntagazwa9. Patrick Qorro10. Japhet Sichona11. Jenerali TK Ulimwengu12. Abel K Mwanga13. Profesa Aaron Masawe14. Shashu Lugeye15. Sebastina Kinyondo16. Phares Kabuye17. Mbwete Hombee18. Kisyeri Chambiri19. John Byeitima20. Abdallah Said Nakuwa21. Mussa Nkhangaa22. Edward Oyombe Ayila23. Ndembwela Ngunangwa24. Mathias Kihaule25. Adam Karumbeta26. Halimenshi Mayonga27. Dk John Katunzi28. Ismail Iwvata29. Tobi T. Mweri30. Aidan Livigha31. Thabitha Siwale32. Obel Mwamfupe 33. Othman Mpakani34. Everest Mwanansao35. Paschal Degere36. Erasto Losioki37. Charles Kagonji38. Nassoro Malocho39. Venance Ngula40. Benedict Losurutia41. Dk Deogratias Mwita42. PL Nnko43. JP Mwanga44. CY Mgonja45. GAM Hatiro46. Paschal Mabiti47. Edith Munuo48. RL Shempemba49. Luteni Kanali (mst) John Mhina50. GM Nhigula51. CM Fundikira52. SMJ Kinuno53. Kombo RA54. Samuel Luangisa55. MJ KammIlikuwa ni 1993 enzi za Mzee Ruksa wakati huo Malechela alikuwa ndo PM
 
Back
Top Bottom