Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Dr Ngunangwa
 
Chufu Adam Sapi Mkwawa R.I.P huyu alikuwa Mbunge na pia Spika wa Bunge kwa Muda Mrefu zaidi ya Wote
Wahehe wanasemekana walikuwa wanakula Mbwa!
Kwani hicho kitoweo wameacha kula?
 
Hivi huyu Lepilei Ole Molomeit si ndio yule alikashifiwa kwenye kampeni na mpinzani wake enzi za chama kimoja kwamba hakutahiriwa? Akashinda kesi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gutram Itatiro
Semindu Pawa
Tuntemeke Sanga
Amrani Mayagila
Aman Kabourou
Njelu Kasaka
Mbeteho Mbe
Mateo Qaresi
Philip Marmo
Martha Wejja
Capt. Ukiwaona Ditopile Mzuzuri
Marcel Komanya
Prof. John Machunda
Herman Kirigini
Adam Sapi Mkwawa
Othman Said Janguo
Erasto Mang'enya
Chadiel Mgonja

Waliotangulia wote RIP
 
Leons Ngalai wazee wa kuiondoa shilingi hadim kieleweke. Ntukamazima (Ngara)
 
Sukwa Said Sukwa,
Emmanuel Bitakwese Rutaraka,
Samwel Ntambala Ruhangisa (ndivyo nawathindaga mimi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…