Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr NgunangwaKuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:
Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngwanangwalu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaangw
Kwani hicho kitoweo wameacha kula?Chufu Adam Sapi Mkwawa R.I.P huyu alikuwa Mbunge na pia Spika wa Bunge kwa Muda Mrefu zaidi ya Wote
Wahehe wanasemekana walikuwa wanakula Mbwa!
Hivi huyu Lepilei Ole Molomeit si ndio yule alikashifiwa kwenye kampeni na mpinzani wake enzi za chama kimoja kwamba hakutahiriwa? Akashinda kesi.....Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:
Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngwanangwalu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaangw
Dah umelitaja sawia jina la mtoto wa hapahapaKampeni aka Captain Ukiwaona Athumani Mwinshehe Ramadhani Ditopile Mzuzuri,
Makweta,
ni Felix Kabuboye- Falecy Kabuye
Fales Kashemeza Kabuye- Falecy Kabuye