Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

kuna wale walifukuzwa bungeni miaka ya 60 kwa kubisha hoja za serikali waziwazi.. Nimewasahau ila walikuwa argumentative mbaya sana! Marxism wa ukweli. Mwenye kukumbuka majina awataje tafadhali!

Joseph Kaselabantu
 
Chief Humbi Ziota - Igunga
Richard Saimora Wambura - Maswa
Edward Barongo - Taifa (Ziwa Magharibi sasa ni Mkoa wa Kagera)
Chief Stanslaus Kasusura - Biharamulo
Joseph K. Nyerere - Taifa (Mara)
Daniel Machemba - Mwanza
Dr. Wilbert Chagula
Hussein Shekilango - Korogwe
Alphonse Rulegura - Sengerema
Stephen Nandonde - Newala
Derek Bryson - Kinondoni

Alhaj Omar Muhaji - Tanga
Richard Saimora Wambura (MB) - Katibu wa Mkoa Mbeya
Daudi Mwakawago - Iringa Vijijini
Edward Moringe Sokoine - Monduli
Corona Busongo - Mwanza
Joseph K. Nyerere - Mbunge wa Taifa Mkoa wa Mara
Alfred Tandau - Mbinga
John S. Malecela
 
Kanal ayubu kimbau mafia tuntemeke Sanga makete crisant mzindakaya sumbawanga adin'goka kinondoni semindu power morogoro Aron chiduo kilosa
 
Hawa siwezi kuwasahau
1. Kutyangatyanga Mpunguti Kwibalanga Mikongo----------------Songea
2. Mufwala maghoha Ulanziwa Ng'ombe Kibaasa--------Iringa
 
Back
Top Bottom