Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Kujikumbusha tu majina ya wabunge inasaidia nini? Ingeleta maana kama kwa kila mbunge jimbo alilowakilisha lingetajwa
na mchango maalum wa huyo mbunge ungetajwa pia. Hiyo ndo maana ya kumkumbuka mtu. Kwa mfano mzee Chrisant Maliyatanga Mzindikaya alikuwa mbunge wa Kwela na alijulikana sana bungeni kwa mtindo wake wa 'kulipua mabomu' ie kutoa hoja nzito za kushtua! nk.

Asante! Umenisemea 75%. Kujikumbusha tu majina ni sawa na kusema "watoto waliozaliwa usiku wa Pasaka wako kadhaa, data hiyo inasaidia nini katika maendeleo ya nchi hii?

Wenzetu wanakusanya data za watoto waliozaliwa kila mwaka na wanawanawandalia mipango mbalimbali kama vile madarasa ya kila level watakayopitia kitaaluma pamoja na mahitaji mengine yatakayohitajika kila hiyo level kama madawati, vitabu, walimu, n.k.

Hata hivyo uzi huu umenifanya ni mkumbuke mbunge wangu Tuntemeke Nnungwa Sanga (R.I.P.) wa wilaya ya Makete kwa wazo lake la ku-pack maji katika chupa na kushauri maji hayo hata ikiwezekana yauzwe katika nchi ambazo hawana maji safi ya kunywa. Wabunge wenzake wengi walimcheka sana kama walivyomcheka Mh. Mbatia na hoja yake ya mitaala ya elimu, wakimwambia amefilisika kisiasa.

Kile kilichoshauriwa wakati huo na kuchekwa, leo kinatekelezeka tena kwa ufanisi mkubwa! Natamani angekuwapo ili aone mawazo yake yakifanya kazi. Leo angekuwepo angekuwa mwana-CHADEMA bila shaka, ni mawazo yangu!
 
Mkuu hiyo ilikuwa G55, pia haikuwa enzi za Mwalimu bali ilikuwa enzi ya Mzee Rukhusa! Mzee alikuwa ameshasalimu amri kuhusu kuanzishwa kwa serekali ya Tanganyika ndani ya Muungano. Kiongozi wao alikuwa Sang'ka Marmo wakati huo akiwakilisha jimbo la Mbulu. Wamshukuru Mwalimu alikuwa haambiliki vinginevyo sasa hivi tungekuwa na serikali 3. Hicho ndo kisa cha mwalimu kuwachukia John na mwenzake Horace mpaka akafikia hatua ya kuandika kile kitabu cha Uongozi na Hatima ya Tanzania (Kama sijachanganya jina)
nchi hii ina siri nyingi, kumbe ndiyo kisa hiki cha malecela kuchukiwa na teacher? ukweli na uwazi wa Horance Kolimba pia ukamgharimu (RIP). nchi hii ina siri nyingi sana.
 
: masudi Chitende.John Kibogoyo, Zimbihile ,Fundikira.rostamu,Kapuya,[/QUOTE] kapuya bado mbunge
 
Charles Kabeho, Pro. Kigoma Malima,


Sent from my EyePhone
 
Dr. Aman walid kabourou, Azim Dewji, Juma akukweti, Harimenshi Mayonga Kahena
 
daah! nandonde na Lawi, umenikumbusha mbali sana, enzi hizoooooo
 
kinana ( alikuwa mbunge wa Arusha kwa muda mrefu )
 
Hombee Polile Mbwette,

Alcardo Ntagazwa

Ayub Kimbau "rais wa Mafia"

Kitwana Kondo " mwana Dar es salaam"
 
Omari Masumbuko Silayo Sinare - Moshi Vijijini
Gerarld Ngotolainyo - Moshi Vijijini
Nasoro Malocho -
Basil Pesambili Mramba - Rombo
Solomon ole Saibul - Arusha?
Chediel Yohan Mgonja - Same
Padri Simon Chiwanga - Dodoma
Alphonce Masikini - Rombo
Leonce Ngalai - Rombo
 
Ni kweli na wasikubishie kwani alikuwa Mbunge wa Temeke na wajanja wakamkatia Rufaa akaingia Agustino Lyatonga Mrema na kweli kuanzia hapo watu wakaanzisha jina hilo la kutokufaulu ni uKihiyo, Huyu jamaa ansikia alikuwa ofisi ya Ubalozi huko Nigeria sijui km ni kweli na yuko wapi sasa

Huyo mbunge Ramadhani Kihiyo hatamsahau Masumbuko Lamwai
 
Mmemsahau bwana Benedicto Mutungurehi.

Duh,aiseh umenikumbusha huyu bwana Benedicto Mutungirehi Mutachoka,nilikuwa namkubali sana huyu bwana,sijui kapotelea wapi na kiingereza chake!
 
uko kwetu rufiji kulikua na mbunge wetu anaitwa mbonde alikaa na ubunge zaidi miaka 20 alikuwa mzigo usiombe sasa ivi ni masikini wa kutupwa yeye alikua kwa kulala kinoma pale bungeni ni mzigo
 
Ali Sijaona
Simon Chiwanga
Abel Mwanga
Edward Barongo
Venant Rwabuti
Bakampenja
Maokola Majogo
Sebastian Kinyondo
Samuel Ntambala Ruhangisa
Pius Msekwa
samuel sita
Nyamaraba IshungisaZimbihire
Kibogoyo
Kasusura
Kaneno

Gutram Itatiro
Amir Jamal
Al Noor Kasam
Lawi Sijaona
Said Natepe
 
Back
Top Bottom