Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Ali Sijaona
Simon Chiwanga
Abel Mwanga
Edward Barongo
Venant Rwabuti
Bakampenja
Maokola Majogo
Sebastian Kinyondo
Samuel Ntambala Ruhangisa
Pius Msekwa
samuel sita
Nyamaraba IshungisaZimbihire
Kibogoyo
Kasusura
Kaneno


Japhet Sichona-Mbozi
 
Asante! Umenisemea 75%. Kujikumbusha tu majina ni sawa na kusema "watoto waliozaliwa usiku wa Pasaka wako kadhaa, data hiyo inasaidia nini katika maendeleo ya nchi hii?

Wenzetu wanakusanya data za watoto waliozaliwa kila mwaka na wanawanawandalia mipango mbalimbali kama vile madarasa ya kila level watakayopitia kitaaluma pamoja na mahitaji mengine yatakayohitajika kila hiyo level kama madawati, vitabu, walimu, n.k.

Hata hivyo uzi huu umenifanya ni mkumbuke mbunge wangu Tuntemeke Nnungwa Sanga (R.I.P.) wa wilaya ya Makete kwa wazo lake la ku-pack maji katika chupa na kushauri maji hayo hata ikiwezekana yauzwe katika nchi ambazo hawana maji safi ya kunywa. Wabunge wenzake wengi walimcheka sana kama walivyomcheka Mh. Mbatia na hoja yake ya mitaala ya elimu, wakimwambia amefilisika kisiasa.

Kile kilichoshauriwa wakati huo na kuchekwa, leo kinatekelezeka tena kwa ufanisi mkubwa! Natamani angekuwapo ili aone mawazo yake yakifanya kazi. Leo angekuwepo angekuwa mwana-CHADEMA bila shaka, ni mawazo yangu!

Tuntemeke Sanga. Kumbe rip. Hawa wabunge akina lissu na wenzake wangesoma kwa Tuntemeke.
 
hahaha huyo ole moloimet alikuwaga mbunge wa Monduli yaani yeye alikuwaga ni kusinzia tu bungeni ana bahati wakati huo haikuwa live bila chenga alafu Lowasa ndio alimuondoa kwenye kiti sijui sasa hivi yuko wapi?
 
Paulo makolo,leonard derefa a.k.a Father. pius Yasebasi Ng'wandu sijui yuko wapi huyu mzee msomi
 
Joseph Kasela Bantu alikuwa mbunge wa Nzega,enzi hizo wabunge walikuwa wanachaguliwa kwa alama za Jembe na Nyumba kama utambulisho wao.
 
nalaila Kiula.aliwah kuwa n/ wazir wa elimu,waziri wa ujenzi,enzi hzo .mpaka sasa kuelekea kwake hakuna hata barabara,yani vituko,
 
peter kabisa wa kinondoni, umetuachia wauza unga watuongoze wanawamaliza ndg zetu manyanya,magomeni mwananymala.We miss u
 
ni ningependa sana kupata wale miamba wakuu yaani G48 kama sijakosea, wale wapinzani ndani ya Bunge enzi za mwalimu.
nafikiri kiongozi wao alikuwa Njeru Kisaka, si na uhakika kama sitta alikuwapo ndani, mwenye data - ni kujikumbisha tu sina jingine.
Ilikuwa ni G55 na sio G48. waliongozwana Njelu Kasaka wakati huo Mhe. Sitta alikuwa ni waziri wa Sheria akipambana moja kwa moja na G55 na alisaidiwa na Mhe. Damian Lubuva aliyekuwa AG
 
Ngotolainyo! - Moshi vjjn (nccr) Thomas Ngawaiya - Moshi vjjn (TLP)
 
Jackson Makweta, Charles Kabeho, Mabawa, Nyanda, F. Shija, Bakari Mbonde, Masumbuko Lamwai, Siraji Kaboyonga etc
 
Back
Top Bottom