Tujikumbushe Makamanda wa Polisi waliovuma enzi hizooo...

Tujikumbushe Makamanda wa Polisi waliovuma enzi hizooo...

Detective Cpl Nkwabi- Kigoma mjini.
Alikuwa hatari sana huyu mtu hata uwe na vidono mwili mzima huchomoki kwake.

Detective Sunday aka Kama Dog- Kasulu mjini weka mbali na majambazi.

A/Insp Julius aka Ras alpha & omega kwa any Criminals..
Inspector sanya mbeya ye alikuwa ukipelekwa kwa issue ya ujambaz unalimwa risasi anakuambia nenda lakin hufik mbali alikomesha ujambazi mkoan mbeya
 
Kamanda Chico -Kilimanjaro na mtandao wao wa majambazi kuiba kwenye mabank wakiongozwa na mkuu wao IGP Mahita

Walitajirika sana kupitia mtandao huu. Tukio linatokea, mnapiga simu polisi lakini ni saa nzima inapita na baada ya majambazi kuondoka ndo askari wanafika.
 
Kwakuwa Mimi ni Wasikuhizi tu The best Ni hawa
1-Tibaigaina nilipenda sana kumsikia Kwenye TV na ile sauti yake
2-Simon Sirro Mwanza
3- Justus kamugisha- Kanda maalum TARIME RORYA
 
Watapata tabu sana, nasema watapata tabu sana. Kipigo chake ni cha mbwa koko.

Kamanda G.Murotto
 
kuna makamanda wa polisi wa mikoa waliovuma sana enzi zao za utumishi Jeshini kwa kupambana na uhalifu. Mmoja wapo ni, Venance Tossi.
Tukumbushe wengne unaowajua.
afande ngunguri
 
Kuna ka ukweli fulani.

Isipokuwa huyo Venance Tossi.
Mana nadhani ndiye aliyepunguza suala la ujambazi Kilimanjaro na utekaji wa mabasi mkoa wa Kagera baada ya kukataa kushirikiana na mitandao ya waovu.
Huyu jamaa hana mali zinazozidi kipato chake.
Tofauti na hao wengine. Wengine kwa kweli bado Wanatia shaka za kiuadilifu kulingana na mali walizojilimbikizia.
Huyo alipata kashfa ya wife wake kula pesa za vijana ili waingie CCP na ilifuatiliwa sana na magazeti ya enzi yakiwa na akili
 
Back
Top Bottom