Tujikumbushe maneno ya zamani ya Kiswahili cha mtaani ambayo yamepotea hayatumiki tena

Tujikumbushe maneno ya zamani ya Kiswahili cha mtaani ambayo yamepotea hayatumiki tena

Shofeli (Dereva) - imetokana na Chauffeur

Demu - (msichana) - imetokana na Madame.....

WoWoWo - sijui ilitokana na nini ila inamaanisha backside (hii watoto walikuwa na Utani..., Singida, Dodoma... Mwanza, Musoma) hio WoWoWo inavyocheza cheza....
 
Haiko mukinga = Haina shida
Mmabo mswano = Mambo poa
Niko gado = niko fresh
 
mkweche - gari mbovu
tozi - bishoo au kwa sahiv wanasema mpakapoda
buzi - sponsor
godorii - (simu hii ya kihuni)
pamba kali - nguo nzuri
unyunyu - perfume
 
Mlugaluga -mshamba,

Choka mbaya-kutokuwa na kitu,

Kufulia -kuishiwa pesa,

Mapene-pesa

Kiduchu-kiasi,

Vibastola-hips,

Kumzimia-kumpenda
 
Back
Top Bottom