Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #41
Pussy Pway Pway
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh!Dala 500
Nenge - NjaaLugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana.
Kupitia uzi huu tukumbushane maneno mbalimbali ambayo yanapotea kwa kasi hivi sasa.
Orodha itaendelea
- Kula jiwe- kukaa kimya
- Kujikata kisilesi- kuondoka
- Kishtobe- mlimbwende myange
- Lofa- masikini
- Lodi- tajiri
- Wakuja- mshamba
- Njenge- nyumba
- Njelii- Mwanjelwa
- Mkoko- gari
- Kala kidato- msomi
ALIWAHI KUONYWESHA 'KATA FUNUA' NAMNA INAPIGWAKachezea Sana vichapo vya nyahuni kwenye harakati zake za utetezi wa Kiswahili saniifu
Kukata gogo = kunyaLugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana.
Kupitia uzi huu tukumbushane maneno mbalimbali ambayo yanapotea kwa kasi hivi sasa.
Orodha itaendelea
- Kula jiwe- kukaa kimya
- Kujikata kisilesi- kuondoka
- Kishtobe- mlimbwende myange
- Lofa- masikini
- Lodi- tajiri
- Wakuja- mshamba
- Njenge- nyumba
- Njelii- Mwanjelwa
- Mkoko- gari
- Kala kidato- msomi
Tangu lini?Haji Manara = Mbea, mwongeaji hovyo, mteti, mbabaishaji
Alipigwa yeeye masela wakasepaALIWAHI KUONYWESHA 'KATA FUNUA' NAMNA INAPIGWA
haaa BUJIBUJI
CHECKBOB la zamani limetupia lakuchumpa a.k.a rabamtoni ya ukweee
Vijiwe vyote vya mjini mtu mropokaji anaitwa Haji ManaraTangu lini?
Nini tafsiri ya zamani?
Haha haha tunaongelea misemo ya kale sio mipyaVijiwe vyote vya mjini mtu mropokaji anaitwa Haji Manara
Hii njelii ilikuwa ya Mbeya pekee?!Lugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana.
Kupitia uzi huu tukumbushane maneno mbalimbali ambayo yanapotea kwa kasi hivi sasa.
Orodha itaendelea
- Kula jiwe- kukaa kimya
- Kujikata kisilesi- kuondoka
- Kishtobe- mlimbwende myange
- Lofa- masikini
- Lodi- tajiri
- Wakuja- mshamba
- Njenge- nyumba
- Njelii- Mwanjelwa
- Mkoko- gari
- Kala kidato- msomi
Hii njelii ilikuwa ya Mbeya pekee?!Lugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana.
Kupitia uzi huu tukumbushane maneno mbalimbali ambayo yanapotea kwa kasi hivi sasa.
Orodha itaendelea
- Kula jiwe- kukaa kimya
- Kujikata kisilesi- kuondoka
- Kishtobe- mlimbwende myange
- Lofa- masikini
- Lodi- tajiri
- Wakuja- mshamba
- Njenge- nyumba
- Njelii- Mwanjelwa
- Mkoko- gari
- Kala kidato- msomi
Hii njelii ilikuwa ya Mbeya pekee?!Lugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana.
Kupitia uzi huu tukumbushane maneno mbalimbali ambayo yanapotea kwa kasi hivi sasa.
Orodha itaendelea
- Kula jiwe- kukaa kimya
- Kujikata kisilesi- kuondoka
- Kishtobe- mlimbwende myange
- Lofa- masikini
- Lodi- tajiri
- Wakuja- mshamba
- Njenge- nyumba
- Njelii- Mwanjelwa
- Mkoko- gari
- Kala kidato- msomi
Kila kwenye mitunbaHii njelii ilikuwa ya Mbeya pekee?!
kwa vitendo zaidi 😀Alipigwa yeeye masela wakasepa
Mtama kimo Cha mbuzikwa vitendo zaidi 😀
Sawa mkuuHaha haha tunaongelea misemo ya kale sio mipya