Tujikumbushe maneno ya zamani ya Kiswahili cha mtaani ambayo yamepotea hayatumiki tena

Wowowo - Tako kubwa
Guruwe - Gari 5x4 Saloon
Raba mtoni - kiatu raba toleo jipya
Feg - sigara
Kupunga - wali
 
Nenge - Njaa
 
Kukata gogo = kunya
Kin'gasti = demu
Zwazwa = Jinga/lofa/fala
Haji Manara = Mbea, mwongeaji hovyo, mteti, mbabaishaji
 
Kula kobisi--kuuchuna.

Kuona soo--kuona aibu.

Check bob--mtanashati.

Kindeki--matako makubwa.

Noma--aibu.

Kavu--mtu asiye na mpango/msaada wowote.

Manzi-- demu.

Kupiga vidudu--kuvaa nguo nzr na kupendeza sn.

Kuvunja kabati --kupendeza.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Hii njelii ilikuwa ya Mbeya pekee?!
 
Hii njelii ilikuwa ya Mbeya pekee?!
 
Hii njelii ilikuwa ya Mbeya pekee?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…