mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
Sasa kiba si ndo alimtoa queen darlin,enzi hizo hata kaka ake hafikiliwi,kwann asiliwe???Katika sakata lao chanzo/sababu ni baada ya Kiba kumtafunia Mondi dada yake (Queen Darlin) na baadae kumtafunia Demu wake Wema Sepetu (Mama huruma)
Kumbukumbu zangu zinaonyesha Queen darlin ni wa kitambo kuliko hata kiba tangu enzi za duli na wimbo wa historia ya kweliSasa kiba si ndo alimtoa queen darlin,enzi hizo hata kaka ake hafikiliwi,kwann asiliwe???
Hawana bifu tenaMr Nice na Dudubaya
hawana bifu tena na wimbo wakaimba pamoja.Afande Sale na O ten
Hawana bifu tena ni watani wazuri sana.Master J na P Funk
Uongo huo.Katika sakata lao chanzo/sababu ni baada ya Kiba kumtafunia Mondi dada yake (Queen Darlin) na baadae kumtafunia Demu wake Wema Sepetu (Mama huruma)
Daaah, hii inauma sana kwakweli hata mimi nisingekubali
Huyo anaongea huku anavuta msuba.... lolHuyo Queen Darlin si ni Mzazi mwenzake Abbyskills ambaye ni Rafiki wa Kiba sasa atamtafunaje tena hiyo si itakuwa roho mbaya!
True.... kikongwe katika game.Kumbukumbu zangu zinaonyesha Queen darlin ni wa kitambo kuliko hata kiba tangu enzi za duli na wimbo wa historia ya kweli
Kumbukumbu zangu zinaonyesha Queen darlin ni wa kitambo kuliko hata kiba tangu enzi za duli na wimbo wa historia ya kweli
True.... kikongwe katika game.
Japo kusema Kiba ndio kamtoa ni sahihi coz kipindi anaitikia nyimbo za Dully hakuna mtu alikua anamjua wala kumfatilia mpaka alipotoa wimbo na Kiba ndio hapo watu wakaanza kumjua na kumfatilia.
HeheheheheGodbless Lema na Mrisho Gambo....
Hivi huyu Frank Mtao yupo wapi siku hizi?hawa walipatanishwa na Frank Mtao wa kipindi cha Nani Ni Nani channel Ten
They got no bifu anymoreMimi naanza na Jide na Mwana FA!
Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako na ndio hivyo kwasasa Jide na FA ni chui na paka!
Unaweza ukaendelea na orodha hii...
LooohHivi kumbe hawa ni watu tofauti