Tujikumbushe mastaa wa Bongo ambao hawapikiki chungu kimoja

Tujikumbushe mastaa wa Bongo ambao hawapikiki chungu kimoja

Katika sakata lao chanzo/sababu ni baada ya Kiba kumtafunia Mondi dada yake (Queen Darlin) na baadae kumtafunia Demu wake Wema Sepetu (Mama huruma)
Sasa kiba si ndo alimtoa queen darlin,enzi hizo hata kaka ake hafikiliwi,kwann asiliwe???
 
Kumbukumbu zangu zinaonyesha Queen darlin ni wa kitambo kuliko hata kiba tangu enzi za duli na wimbo wa historia ya kweli
True.... kikongwe katika game.

Japo kusema Kiba ndio kamtoa ni sahihi coz kipindi anaitikia nyimbo za Dully hakuna mtu alikua anamjua wala kumfatilia mpaka alipotoa wimbo na Kiba ndio hapo watu wakaanza kumjua na kumfatilia.
 
Kumbukumbu zangu zinaonyesha Queen darlin ni wa kitambo kuliko hata kiba tangu enzi za duli na wimbo wa historia ya kweli

Ni kweli Queen Darlin wa kitambo sana ni mdada wa mwanzo mwanzo kbs kushirikishwa kwenye viitikio toka Julieta ya dully hadi geti kali ya Inspeta kipindi hicho huyo kiba sijui alikua wapi..
 
True.... kikongwe katika game.

Japo kusema Kiba ndio kamtoa ni sahihi coz kipindi anaitikia nyimbo za Dully hakuna mtu alikua anamjua wala kumfatilia mpaka alipotoa wimbo na Kiba ndio hapo watu wakaanza kumjua na kumfatilia.

Wewe ndio ulikua humjui..
 
Mimi naanza na Jide na Mwana FA!

Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako na ndio hivyo kwasasa Jide na FA ni chui na paka!

Unaweza ukaendelea na orodha hii...
They got no bifu anymore
Screenshot_2017-12-28-11-19-49.png
 
Back
Top Bottom