Tujikumbushe mastaa wa Bongo ambao hawapikiki chungu kimoja

Ni vile tu haupo update, hao uliowataja wameshamaliza tofauti zao
c9b4b6d1d468f1c2a6a854d02e94a7fd.jpg
Hawa jamaa at one time in life nilijua wanatoka kimapenzi...sio kwa makolabo Yale, as in, walikua soo close..
 
Mimi naanza na Jide na Mwana FA!

Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako na ndio hivyo kwasasa Jide na FA ni chui na paka!

Unaweza ukaendelea na orodha hii...
Umbea una wenyewe babu, hilo bifu lishakwisha ni kitambo...
 
Mimi naanza na Jide na Mwana FA!

Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako na ndio hivyo kwasasa Jide na FA ni chui na paka!

Unaweza ukaendelea na orodha hii...
Acha uongo walishamaliza tofaut zao wanapatana vizur tu
 
Mimi naanza na Jide na Mwana FA!

Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako na ndio hivyo kwasasa Jide na FA ni chui na paka!

Unaweza ukaendelea na orodha hii...
bifu lishaisha muda unakaa dunia ipi
 
Back
Top Bottom