Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,019
Mr Nice na Dudubaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa at one time in life nilijua wanatoka kimapenzi...sio kwa makolabo Yale, as in, walikua soo close..Ni vile tu haupo update, hao uliowataja wameshamaliza tofauti zao![]()
Umbea una wenyewe babu, hilo bifu lishakwisha ni kitambo...Mimi naanza na Jide na Mwana FA!
Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako na ndio hivyo kwasasa Jide na FA ni chui na paka!
Unaweza ukaendelea na orodha hii...
Hivi kumbe hawa ni watu tofautiNikkiMbishi Vs NikkiWapili
Acha uongo walishamaliza tofaut zao wanapatana vizur tuMimi naanza na Jide na Mwana FA!
Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako na ndio hivyo kwasasa Jide na FA ni chui na paka!
Unaweza ukaendelea na orodha hii...
bifu lishaisha muda unakaa dunia ipiMimi naanza na Jide na Mwana FA!
Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako na ndio hivyo kwasasa Jide na FA ni chui na paka!
Unaweza ukaendelea na orodha hii...
Aloo kitambo aisee!Zey B and Sister P
Sijui wapo wapi sasa hivi.
nipo chattlebifu lishaisha muda unakaa dunia ipi
na kuna nyimbo wamesharekodi itatoka soonNi vile tu haupo update, hao uliowataja wameshamaliza tofauti zao![]()