Tujikumbushe mastaa wa Bongo ambao hawapikiki chungu kimoja

Tujikumbushe mastaa wa Bongo ambao hawapikiki chungu kimoja

Mimi naanza na Jide na Mwana FA!

Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako na ndio hivyo kwasasa Jide na FA ni chui na paka!

Unaweza ukaendelea na orodha hii...
Juzi walikuwa wote kwenye freshers party. ( F. A na Jide)
 
Katika sakata lao chanzo/sababu ni baada ya Kiba kumtafunia Mondi dada yake (Queen Darlin) na baadae kumtafunia Demu wake Wema Sepetu (Mama huruma)
Huyo Queen Darlin si ni Mzazi mwenzake Abbyskills ambaye ni Rafiki wa Kiba sasa atamtafunaje tena hiyo si itakuwa roho mbaya!
 
Back
Top Bottom