Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi Frank Mtao yupo wapi?
Soggy na yy akili robo. Hivi Afande ana mpinzani kwny rhymes kwa bongo mpka leo??Afande sele na soggy doggy kisa mfalme wa rhymes
Liliisha mpka wakatoa ile ngoma ya tusahauOten vs afande sele.
Juzi walikuwa wote kwenye freshers party. ( F. A na Jide)Mimi naanza na Jide na Mwana FA!
Hakuna msanii ambae amefanya collabo nyingi na Mwana FA kama Lady Jay Dee a.k.a komando Jide.
Kama wasemavyo wahenga, rafiki yako mkubwa anaweza akawa adui yako na ndio hivyo kwasasa Jide na FA ni chui na paka!
Unaweza ukaendelea na orodha hii...
hao sio star wa Tanzania nzima bali ni star wa mkoa wa Arusha[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]Godbless Lema na Mrisho Gambo....
Lini?Master J na P Funk
Huyo Queen Darlin si ni Mzazi mwenzake Abbyskills ambaye ni Rafiki wa Kiba sasa atamtafunaje tena hiyo si itakuwa roho mbaya!Katika sakata lao chanzo/sababu ni baada ya Kiba kumtafunia Mondi dada yake (Queen Darlin) na baadae kumtafunia Demu wake Wema Sepetu (Mama huruma)