Tujikumbushe mawaziri wazamani

Tujikumbushe mawaziri wazamani

Hawa wote mnaowataja si wa zamani, tajeni mawaziri wa zamani wakati Mfaume Rashid Kawawa in waziri mkuu!!
 
Hivi wale wenzangu na mimi mnawakumbuka hawa?
1.Waziri wa Fedha Amiri Jamal
2.Waziri wa Afya Aaron Chiduo
3.Waziri wa Sheria Julie Marning
4.Waziri wa maji na nishati Al noor Kassum
5.Waziri wa Ujenzi Samwel J Sitta
6.Waziri wa Kazi Alfred Tandau
7.Waziri wa Elimu Thabitha Siwale
8.Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Benjamin Mkapa
9.Waziri wa Sheria na Mwanaheria mkuu wa Serikali Joseph Sinde Warioba.
10.Waziri wa Kilimo Joseph Mungai
.
.
.........mwenye kuwakumbuka zaidi aongezee jamani.
Waziri wa mawasiliano na uchukuzi David Mwakawago
 
Back
Top Bottom