Kilio Chetu2015
Member
- May 24, 2013
- 26
- 6
dr.festus limbu naibu waziri wa fedha,Ernest kisumo Nyanda.Moringe Sokoine waziri mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri wa mawasiliano na uchukuzi David MwakawagoHivi wale wenzangu na mimi mnawakumbuka hawa?
1.Waziri wa Fedha Amiri Jamal
2.Waziri wa Afya Aaron Chiduo
3.Waziri wa Sheria Julie Marning
4.Waziri wa maji na nishati Al noor Kassum
5.Waziri wa Ujenzi Samwel J Sitta
6.Waziri wa Kazi Alfred Tandau
7.Waziri wa Elimu Thabitha Siwale
8.Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Benjamin Mkapa
9.Waziri wa Sheria na Mwanaheria mkuu wa Serikali Joseph Sinde Warioba.
10.Waziri wa Kilimo Joseph Mungai
.
.
.........mwenye kuwakumbuka zaidi aongezee jamani.