Tujikumbushe mboga zetu za asili: Naanza mimi na wewe taja za kwenu.

Tujikumbushe mboga zetu za asili: Naanza mimi na wewe taja za kwenu.

Uyoga unaitwa ulelema, namgujulu mboga ya manyonyoli, ukichanganya na sabola(pilipili) dah ugali hata uwe debe unakwenda
umeona eeh! tena uwe ugali wa mayao...... hadi waje wakutoe kwenye mpasa maana hakuna kushiba.
ulelema ni aina ya ngowani (uyoga), kuna pia unguyugu, .....du, majina yamekimbia, ha haaa
 
umeona eeh! tena uwe ugali wa mayao...... hadi waje wakutoe kwenye mpasa maana hakuna kushiba.
ulelema ni aina ya ngowani (uyoga), kuna pia unguyugu, .....du, majina yamekimbia, ha haaa

FP NA CHIMUNGURU.....vana va kunyumba.....hayo majina ya uyoga...kiboko.
 
Kwetu tunakula liponda
lilende
wida
ntandashi
 
lilende (elilendee)....unasukumia ndigwa

chencheri (eli-chencheri)....watu wa kure Mugumu Mara mtakuwa mnalijua
 
Awayo..... Mboga tamu sana kwa waluo... Hadi Obama anaifahamu¡¡¡
 
Back
Top Bottom