Tujikumbushe Mdahalo kati ya Ole Sabaya na John Pambalu

Haya mahojiano yalifanyika wakati JPM akiwa hoi bin taabani, Kigogo2014 wa Tweeter akijizolea umaarufu kwa kuuhabarisha umma kuwa JPM kafa.

Lkn yaelekea Sabaya ni miongoni mwa watu waliokuwa hawaamini hata kidogo kuwa Mungu wao JPM anaweza kufa.
 
Sikiliza hapa.

Hii nchi imetoka mbali sana.

Mkuu JokaKuu , thanks for this. Japo siungi mkono matendo maovu ya Sabaya, ila ukimsikiliza Sabaya has good convincing power, siungi mkono jinsi alivyotendwa, wakati wa JPM kuna maovu mengi yametendwa ikiwemo kumpoteza Ben Saanane, Azory Gwanda, Lwijabe, Alfonsi Mawazo, shambulio la Tundu Lissu, naamini wote waliofanya haya wanafahamika, why Sabaya pekee?. Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, kila mtu atalipwa kwa matendo yake, hivyo tukiamua kubanana na waovu hawa, tubanane na wote na sio kuchagua wa kubanana huku wengine waliotoa roho za watu wakiachwa!. Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
#freesabaya
P
 
Haya mahojiano yalifanyika wakati JPM akiwa hoi bin taabani, Kigogo2014 wa Tweeter akijizolea umaarufu kwa kuuhabarisha umma kuwa JPM kafa.

Lkn yaelekea Sabaya ni miongoni mwa watu waliokuwa hawaamini hata kidogo kuwa Mungu wao JPM anaweza kufa.
Mpaka leo haamini kabisa
 
Kiranja wa maovu yote alikuwa ni Makonda
 
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, kila mtu atalipwa kwa matendo yake, hivyo tukiamua kubanana na waovu hawa, tubanane na wote na sio kuchagua wa kubanana huku wengine waliotoa roho za watu wakiachwa!
Pascal Mayalla naungana na wewe kwamba kila mtu atalipwa kwa matendo yake, napingana na wewe kwenye muda wa waovu kulipwa, Kila muovu atalipwa kwa muda wake, Muda wa Sabaya ndo huu, muda wa mwingine pia utafika ingawa hatujui ni lini na ni nani wala kwa namna gani lkn wote lazima waishe for sure.... tuendelee kuamini Ukweli kwamba Karma is a bitch!
 
Haya mahojiano yalifanyika wakati JPM akiwa hoi bin taabani, Kigogo2014 wa Tweeter akijizolea umaarufu kwa kuuhabarisha umma kuwa JPM kafa.

Lkn yaelekea Sabaya ni miongoni mwa watu waliokuwa hawaamini hata kidogo kuwa Mungu wao JPM anaweza kufa.
huyu alikuwa ana nunua hivi vipindi ili apate milage. serikali ile ilikuwa ya hovyo sana
 
Mkuu JokaKuu , thanks for this. Japo siungi mkono matendo maovu ya Sabaya, ila ukimsikiliza Sabaya has good convincing power, siungi mkono jinsi alivyotendwa, wakati wa JPM kuna maovu mengi yametendwa ikiwemo kumpoteza Ben Saanane, Azory Gwanda, Lwijabe, Alfonsi Mawazo, shambulio la Tundu Lissu, naamini wote waliofanya haya wanafahamika, why Sabaya pekee?. Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, kila mtu atalipwa kwa matendo yake, hivyo tukiamua kubanana na waovu hawa, tubanane na wote na sio kuchagua wa kubanana huku wengine waliotoa roho za watu wakiachwa!. Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
#freesabaya
P
Convincing power yake inahusiana vipi na wewe kutounga mkono anavyotendwa? Akiachwa licha ya maovu unayosema huyaungi mkono kwa sababu wengine wameachwa pia kwa yao, ndio maana ya karma unayoiamini? Au ndio Sheria usiyoacha kutukumbusha kila siku humu umeisoma mpaka digrii?
 
Mkuu JokaKuu , thanks for this. Japo siungi mkono matendo maovu ya Sabaya, ila ukimsikiliza Sabaya has good convincing power, siungi mkono jinsi alivyotendwa, wakati wa JPM kuna maovu mengi yametendwa ikiwemo kumpoteza Ben Saanane, Azory Gwanda, Lwijabe, Alfonsi Mawazo, shambulio la Tundu Lissu, naamini wote waliofanya haya wanafahamika, why Sabaya pekee?. Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, kila mtu atalipwa kwa matendo yake, hivyo tukiamua kubanana na waovu hawa, tubanane na wote na sio kuchagua wa kubanana huku wengine waliotoa roho za watu wakiachwa!. Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
#freesabaya
P

Sabaya alikuwa na convincing power gani?. Yule bila mabavu hana lolote.
 
sabaya is facing the dirty results he did during his administration under the umbrella of Magufuli. Hata alichokuwa akikifanya ni reflection ya msimamo wa Magu. Si yeye tu,hapakuwa na creativeness ya watendaji wa serikali katika utendaji wa kazi zao,ubunifu uliachiwa Rais na watendaji wakawa wagombea hoja na utekelezaji wa matakwa ya rais, delegations of power ikatoweka,mtu akisimamia jambo ana mtukuza kwa rais kuwa rais kasema na si mandatory yake kuwa nasimamia hili kwa mujibu wa sheria.

Sahihi,Sabaya has facing his consequences through circumstances he done
 
Back
Top Bottom