Tujikumbushe Mdahalo kati ya Ole Sabaya na John Pambalu

Mkuu JokaKuu , thanks for this. Japo siungi mkono matendo maovu ya Sabaya, ila ukimsikiliza Sabaya has good convincing power, siungi mkono jinsi alivyotendwa, wakati wa JPM kuna maovu mengi yametendwa ikiwemo kumpoteza Ben Saanane, Azory Gwanda, Lwijabe, Alfonsi Mawazo, shambulio la Tundu Lissu, naamini wote waliofanya haya wanafahamika, why Sabaya pekee?. Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, kila mtu atalipwa kwa matendo yake, hivyo tukiamua kubanana na waovu hawa, tubanane na wote na sio kuchagua wa kubanana huku wengine waliotoa roho za watu wakiachwa!. Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
#freesabaya
P

..mimi sijapenda jinsi Sabaya alivyokuwa akitetea maamuzi ya wanasiasa kwa kutumia vifungu toka ktk Biblia.

..kwa maoni yangu, huo ni utamaduni mbaya ambao umeanza kuota mizizi ktk siasa zetu hapa Tanzania.

..kwenye suala la "double standards" na "cherry picking" nakuunga mkono. Napendekeza iundwe TUME YA HAKI, UKWELI, NA MARIDHIANO, ili wote walioumizwa wapate nafasi ya kusikilizwa, ukweli ujulikane, na haki itendeke.

..Na Tume hiyo ichunguze makosa yote ya uvunjifu wa haki za binaadamu Tanganyika na Zanzibar tangu tulipopata uhuru.
 
Mkuu JokaKuu , thanks for this. Japo siungi mkono matendo maovu ya Sabaya, ila ukimsikiliza Sabaya has good convincing power, siungi mkono jinsi alivyotendwa, wakati wa JPM kuna maovu mengi yametendwa ikiwemo kumpoteza Ben Saanane, Azory Gwanda, Lwijabe, Alfonsi Mawazo, shambulio la Tundu Lissu, naamini wote waliofanya haya wanafahamika, why Sabaya pekee?. Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, kila mtu atalipwa kwa matendo yake, hivyo tukiamua kubanana na waovu hawa, tubanane na wote na sio kuchagua wa kubanana huku wengine waliotoa roho za watu wakiachwa!. Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
#freesabaya
P
Mwendakuzimu Jiwe ndio alikuwa Mastermind wa hayo yote, Karma is a bitch, Korona ikatembea nae
Yuko Motoni Hana analojua Kwa sasa
 
Mkuu JokaKuu , thanks for this. Japo siungi mkono matendo maovu ya Sabaya, ila ukimsikiliza Sabaya has good convincing power, siungi mkono jinsi alivyotendwa, wakati wa JPM kuna maovu mengi yametendwa ikiwemo kumpoteza Ben Saanane, Azory Gwanda, Lwijabe, Alfonsi Mawazo, shambulio la Tundu Lissu, naamini wote waliofanya haya wanafahamika, why Sabaya pekee?. Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, kila mtu atalipwa kwa matendo yake, hivyo tukiamua kubanana na waovu hawa, tubanane na wote na sio kuchagua wa kubanana huku wengine waliotoa roho za watu wakiachwa!. Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
#freesabaya
P
Duh!.. yaani aachiwe huru kisa kuna waovu wengine wapo huru ?...too low
 
Back
Top Bottom