Tujikumbushe Mdahalo kati ya Ole Sabaya na John Pambalu


..mimi sijapenda jinsi Sabaya alivyokuwa akitetea maamuzi ya wanasiasa kwa kutumia vifungu toka ktk Biblia.

..kwa maoni yangu, huo ni utamaduni mbaya ambao umeanza kuota mizizi ktk siasa zetu hapa Tanzania.

..kwenye suala la "double standards" na "cherry picking" nakuunga mkono. Napendekeza iundwe TUME YA HAKI, UKWELI, NA MARIDHIANO, ili wote walioumizwa wapate nafasi ya kusikilizwa, ukweli ujulikane, na haki itendeke.

..Na Tume hiyo ichunguze makosa yote ya uvunjifu wa haki za binaadamu Tanganyika na Zanzibar tangu tulipopata uhuru.
 
Mwendakuzimu Jiwe ndio alikuwa Mastermind wa hayo yote, Karma is a bitch, Korona ikatembea nae
Yuko Motoni Hana analojua Kwa sasa
 
Duh!.. yaani aachiwe huru kisa kuna waovu wengine wapo huru ?...too low
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…