OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Ile game ya France na Romania ambapo Theory Henry alifunga goli la mkono ilikuwa ni ya kufuvu nini???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana dogo ulikosa uhondo
Haikua France na Romania ilikua ni France na Ireland, ilikua ya kufuzu kombe la dunia mdogo anguIle game ya France na Romania ambapo Theory Henry alifunga goli la mkono ilikuwa ni ya kufuvu nini???
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise nmetoka yutube kuchek lile goli la yule mnaigeria ni balaa mkuu ..aliwafunga spainHuyu fundi achana nae kabisa Dennis Bergkamp
Aha dah nikajua ni Romania mze baba[emoji3][emoji3][emoji3] wakati hakukuwa na VAR ..lazima goli lingekataliwa..Haikua France na Romania ilikua ni France na Ireland, ilikua ya kufuzu kombe la dunia mdogo angu
Goli la Bergkamp ukitaka kuliona angalia mechi ya robo fainali baina ya Uholanzi na Argentina, ingawa hilo nalo la Sunday Oliseh lilikua la kibabe piaAise nmetoka yutube kuchek lile goli la yule mnaigeria ni balaa mkuu ..aliwafunga spain
Sent using Jamii Forums mobile app
VAR ingekuepo na kadi ingetoka sababu alishika makusudiAha dah nikajua ni Romania mze baba[emoji3][emoji3][emoji3] wakati hakukuwa na VAR ..lazima goli lingekataliwa..
Sent using Jamii Forums mobile app