Tujikumbushe MV Bukoba enzi za uhai wake

Nafikiri kama sahani mbili za chips
 
kiliniuma sana wale wanafunzi wasichana wa Rugabwa waliokuwa wamemaliza kidato cha sita wote waliteketea; walivyoona sasa wanakufa walishikana wote kuagana kwa safari ya milele - too sad.
Duuh hadi nimesisimka mwili.
 
Walipigiwa simu tokea wapi mkuu!???na kampuni gani!??ilikua 1996,21 May Kumbuka!!
 
Alimpigia simu gani ya upepo ? Au satelite...
 
Kama unayo hebu iweke hapa mkuu
 
Simu mwaka 96 kwenye meli?Sound hio boss.
 
Nadhani somo lilipqtikana, haitatokea tena ajali kama ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…