Tujikumbushe: Mwana FA aiombea Yanga nafasi kucheza Super League, Yanga yalalamika kutoalikwa mkutano wa CAF Arusha

Kucheza supercup kuna vigezo maalum(points) inabidi uwe umekizi ili uchaguliwe.


Sasa waziri kuiombea yanga ishiriki ni ujinga wa hali ya juu .

Pili , Yanga ialikwe katika mkutano wa CAF kwa kigezo kipi?
 
Wako busy kuiponda AFL...mlikua mnaomba nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…