Geofrey Maseta
JF-Expert Member
- Nov 24, 2015
- 1,115
- 916
Yusuf Macho MussoYusuf Macho ''Fuso''
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yusuf Macho MussoYusuf Macho ''Fuso''
Pamoja sana MkuuNdio ulevi wetu huu wengine nawe Shukrani kuleta uzi
Hamis Thobias Gaga "Gagarino"7. Twaha hamidu "noriega" - simba
8. Ezeckiel grayson " jujuman"- simba
9. Malota soma "balljugler" -simba
10. Samli ayubu "beki msatarabu" majimaji
11. Madaraka seremani "mzee wa kiminyio" simba
12. Daudi salum " brucelee"- simba
13. Victor coasta "nyumba" simba
14. Saidi swedi "scud" - yanga
15 zamoyoni mogela "Golden boy" - SIMBA
17. Saidi Mrisho "ZIKO WA KILOSA"- Plisner
18 Frenk Kasanga " Bwalia" - Nyota Nyekundu
Nakumbuka wakikutana kati ya Frenk kasanga na Ziko wa klosa ilikuwa RAHA
Unajua KIPANYA MALAPA alivuma misimu mingapi?Hivi katika wachezaji wote kuna ambaye alivuma kwa mda mchache sana kama Kalimangongi Ongala
Unajua KIPANYA MALAPA alivuma misimu mingapi?
Unamkumbuka Abdallah Juma wa MTIBWA na Maximo?
Ndio hivo hivo kwa KIPANYA MALAPA, na Abdallah Juma wa Mtibwa. Wote walivuma msimu mmoja mmoja, tofauti ni kwamba hao kila mmoja kwa msimu wake walikuwa wafungaji bora. Msimu uliofata wakapotea mazima.Hao siwakumbuki lakini nnachokumbuka Kali alivuma sana msimu mmoja na yanga ikawa jina kubwa halafu akapotea mazima.
SupersubHassan Afif - Mpemba
Said Sued "Scud" ndo no.1Hivi katika wachezaji wote kuna ambaye alivuma kwa mda mchache sana kama Kalimangongi Ongala
Wana KawekamoNamkumbuka Marehemu Dominik Chirambo alivyokuwa anawapamba hao jamaa wana tupwisaa lindanda ilikuwa burudaaani...
hahahaha we jamaaThiery Henry "Chogo"
sheria zimewekwa ili zivunjwe
wazungu jina la chogo hawalijui