Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

Hamis Thobias Gaga "Gagarino"
 
Nimemkumbuka rafiki yangu japo kwa sasa sijui yupo wapi! Silvatus ibrahim" polisi"
 
Hivi katika wachezaji wote kuna ambaye alivuma kwa mda mchache sana kama Kalimangongi Ongala
 
Hivi katika wachezaji wote kuna ambaye alivuma kwa mda mchache sana kama Kalimangongi Ongala
Unajua KIPANYA MALAPA alivuma misimu mingapi?

Unamkumbuka Abdallah Juma wa MTIBWA na Maximo?
 
Hao siwakumbuki lakini nnachokumbuka Kali alivuma sana msimu mmoja na yanga ikawa jina kubwa halafu akapotea mazima.

Ndio hivo hivo kwa KIPANYA MALAPA, na Abdallah Juma wa Mtibwa. Wote walivuma msimu mmoja mmoja, tofauti ni kwamba hao kila mmoja kwa msimu wake walikuwa wafungaji bora. Msimu uliofata wakapotea mazima.
 
Zamoyon Mogella "Golden boy"
Deogratias Munishi "Dida"
Ally Mustafa "Barthez"
Mohamed Ibrahim "Cabaye"
 
Makumbi JUMA homalajiji Omar Hussein pita tino samli ayubu Octavian mrope itutu kigi Cheche kagire Allan shomari Lila shomari athumani China issa athumani abeid mziba Edgar fongo
 
Amour Azizi "kijeba"
Abdi Kassim "babi"
David mwakalibela "MP"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…